Mpenzi wako sio ndugu yako

Wanawake na nyie mtafute Msemaji wenu, Sidhani siku zote mahusiano yanavunjwa na mwanamke tu , Tunazungumzia vipi tunaodate na wanawake kutimiza haja zetu na kisha kuwaacha tukiwa tumewapotezea muda l??
Ujumbe anaofikisha mtoa post ni kuwa wanaume wasi rely kwa mwanamke sana hata wakasahau maisha yao, anytime wanaweza sepa and wakakuacha despite ulijitoa sana kwao
 
Ujumbe anaofikisha mtoa post ni kuwa wanaume wasi rely kwa mwanamke sana hata wakasahau maisha yao, anytime wanaweza sepa and wakakuacha despite ulijitoa sana kwao
Katika mahusiano mwanaume ndie anasaidia zaidi, mwanaume ndie anawekeza zaidi kwa maana iyo mahusiano kwa mwanamke ni win-win wakati huo kwa mwanaume ni loss.

Mwanamke mbususu yake tu inatosha kuingia kwenye mahusiano wakati mwanaume mjegeje wako pekee hautoshi ku-sustain mahusiano.

Hii liability ya mahusiano lazima iwe calculated, tusikae kizembe.
 
Wanawake na nyie mtafute Msemaji wenu, Sidhani siku zote mahusiano yanavunjwa na mwanamke tu , Tunazungumzia vipi tunaodate na wanawake kutimiza haja zetu na kisha kuwaacha tukiwa tumewapotezea muda l??
Pluto did I hear you say " kumpotezea muda?"
Mkuu ulikusudia au limekuponyoka tu?
 
Ndio maana hupati ajira...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…