Mpenzi Wako Wa Zamani kaja kukuomba msamaha Utamsamehe?

Mpenzi Wako Wa Zamani kaja kukuomba msamaha Utamsamehe?

Ex wako kaja kuomba radhi juu ya Yale yote aliyokufanyia je utakuwa tayari kumsamehe na kumfungulia ukurasa mpya

Ata kama utakuwa umeoa/kuolewa?
Hakuna kitu kizuri duniani kama kusamehe unabaki na amani ya moyo na mambo yako yanasonga mbele kwa uzuri kabisa, samehe 7x79
 
Umeoa/kuolewa unamsehe umfungulie ukarasa mpya upi tena au magazeti aliyokuwa akisoma kitenge
 
Ex wako kaja kuomba radhi juu ya Yale yote aliyokufanyia je utakuwa tayari kumsamehe na kumfungulia ukurasa mpya

Ata kama utakuwa umeoa/kuolewa?
Usithubutu kukubali kurudisha hisia zako kwa mtu mlioachana, penzi la ukweli ni lile linaloptia magumu lakini hawaachani,mkiachana kurudiana huwa hakuna jambo jipya kuchipua na posibly huko alipokua yamemshinda sass wewe unachukuaje watu waliokuacha wakashindikana huko warudi uwapoke tena
 
Ex wako kaja kuomba radhi juu ya Yale yote aliyokufanyia je utakuwa tayari kumsamehe na kumfungulia ukurasa mpya

Ata kama utakuwa umeoa/kuolewa?
Akija lazima aliwe kwanza, mambo ya msamaha baadaye
 
Back
Top Bottom