vipanda thamani
JF-Expert Member
- Jul 7, 2022
- 603
- 954
Hakuna kitu kizuri duniani kama kusamehe unabaki na amani ya moyo na mambo yako yanasonga mbele kwa uzuri kabisa, samehe 7x79Ex wako kaja kuomba radhi juu ya Yale yote aliyokufanyia je utakuwa tayari kumsamehe na kumfungulia ukurasa mpya
Ata kama utakuwa umeoa/kuolewa?
Sure we fuatilia utarud kuleta ushuhuda hapa jamvinAcha bas
Kusamehe katika muktadha wa mapenzi ni kufanyaje?Nishamsamehe kabla hajaja ila haimaanishi nitamrudia
Mkuu jua hajajipanga!Akinikuta na ugwadu msamaha nje nje ila zikinitoka tu kesi ina anza upya
Usithubutu kukubali kurudisha hisia zako kwa mtu mlioachana, penzi la ukweli ni lile linaloptia magumu lakini hawaachani,mkiachana kurudiana huwa hakuna jambo jipya kuchipua na posibly huko alipokua yamemshinda sass wewe unachukuaje watu waliokuacha wakashindikana huko warudi uwapoke tenaEx wako kaja kuomba radhi juu ya Yale yote aliyokufanyia je utakuwa tayari kumsamehe na kumfungulia ukurasa mpya
Ata kama utakuwa umeoa/kuolewa?
Akija lazima aliwe kwanza, mambo ya msamaha baadayeEx wako kaja kuomba radhi juu ya Yale yote aliyokufanyia je utakuwa tayari kumsamehe na kumfungulia ukurasa mpya
Ata kama utakuwa umeoa/kuolewa?
Kwanini asamehewe, kufanya maajabu Gani?Mkuu had huna kumbukumbu au bas tufanye amekuja jack na lil for the same time Nan wa kusamehewa?