Wakati nalainisha Moyo kumpenda...
Sio kama ninakosea...
Ipo sababu ya mie kurejesha namba, ambayo ilipoteaaa...
Hali ya Mtoto kumsusa Mama mkishachapwa ni sawa na Mapenzi...
Ukishapenda unasahau hata kama ulishafanyiwaga ushenzi...
Nakumbuka nilijuta sana kupendapenda kusiko na thamani...
Ila hitaji la Moyo lalazimisha kurudia zamani...
ohoh oooo weoo, ohoh weooo, mimi bado nina imani...
ohoh ooo weoo, ohoh weooo, ipo siku utanipa thamani...
ohoh ooo weoo, ohoh weooo, mimi bado nina imani...
ohoh ooo weoo, ohoh weooo...
Jua mie siachani, naweee...
Na sishindani, naweee...
Maana upo Moyoni, nae...
Acha nisote mieee...