Mpenzi wako wa zamani

Mpenzi wako wa zamani

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
fd1fb87e295fef0cf19720ee2abd758e.jpg
 
Wakati nalainisha Moyo kumpenda...

Sio kama ninakosea...

Ipo sababu ya mie kurejesha namba, ambayo ilipoteaaa...

Hali ya Mtoto kumsusa Mama mkishachapwa ni sawa na Mapenzi...

Ukishapenda unasahau hata kama ulishafanyiwaga ushenzi...

Nakumbuka nilijuta sana kupendapenda kusiko na thamani...

Ila hitaji la Moyo lalazimisha kurudia zamani...

ohoh oooo weoo, ohoh weooo, mimi bado nina imani...

ohoh ooo weoo, ohoh weooo, ipo siku utanipa thamani...

ohoh ooo weoo, ohoh weooo, mimi bado nina imani...

ohoh ooo weoo, ohoh weooo...

Jua mie siachani, naweee...

Na sishindani, naweee...

Maana upo Moyoni, nae...

Acha nisote mieee...
 
Ulinikataa bila sababu ukaninyanyasa bila aibu, nimepata mwingine tabibuuu sasa wani fatafata nini?
 
Tatizo wapo wengi au yule wa kwanza kabisa wa darasa la tano!!
 
Back
Top Bottom