Mpenzi wangu aliniacha sababu boksa zangu ni za vitenge!

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Mwezi na tarehe kama ya leo last year niliachwa na mpenzi wangu wa kinyaturu kisa kilikuwa cha kijinga sana eti boksa zangu ni za vitenge..

Sasa yeye sijui alitaka niwe na boksa zipi maana kipindi hiko nilikuwa fundi cherehani so vipannde vya vitenge vilivyokuwa vinabaki nilijitengenezea boksa zangu mwenyewe.

Nazipenda sana boksa nilizotengeneza kwa kitenge cha wax zinang'aa vizuri sana.
 
Kuanzia Leo wewe ni msaidizi wangu mkuu.
 
Ulikuwa unashona boksa za vitenge kama baba yake varshita
 
Alijua moja kwa moja hyu baba ni bahili, kama atatunza Pumb,,u kwa vipande vya kanga kitumbua sindio atakifunika na majani
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€dah
 
Demu wako ni limbukeni mkuu,kwanza kuvaa boksa ni anasa sisi wamasai hatuvai boksa na tunapata mademu wa kizungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…