Mpenzi wangu aliniacha sababu boksa zangu ni za vitenge!

Mpenzi wangu aliniacha sababu boksa zangu ni za vitenge!

Alijua moja kwa moja hyu baba ni bahili, kama atatunza Pumb,,u kwa vipande vya kanga kitumbua sindio atakifunika na majani
Nimewaza kama wewe,hilo ndio jibu lake.
Wanawake hufurahia kukaa sehemu ambako kuna mvuto na muonekano wa kipesa hata kama hautamuonga sasa hivi kwake hakuna tatizo anajua huko mbeleni atazinasa tu.
Sasa akapiga hesabu kama huyu mtu ni bahili hata wa kununua boksa za buku 3 je ataweza kuhonga elfu 50 au laki 1 kweli
 
Mwezi na tarehe kama ya leo last year niliachwa na mpenzi wangu wa kinyaturu kisa kilikuwa cha kijinga sana eti boksa zangu ni za vitenge..

Sasa yeye sijui alitaka niwe na boksa zipi maana kipindi hiko nilikuwa fundi cherehani so vipannde vya vitenge vilivyokuwa vinabaki nilijitengenezea boksa zangu mwenyewe.

Nazipenda sana boksa nilizotengeneza kwa kitenge cha wax zinang'aa vizuri sana.
Pole mdau .unaniona mimi mwenzio ni muumini wa Ile dhana mwamba nguo na nguo za ndani hazina nafasi katika mahusiano kwasababu wakat wa show itabidi uzivue unconscious.
 
Back
Top Bottom