Mpenzi wangu alinidanganya umri

Mpenzi wangu alinidanganya umri

Mwanamke anapenda Kila azidiwe na mwanaume yaani wao always or naturally Wana trade lowest value to highest value from men
 
Secretary kaniambia you are not "availabo" 😭😭😭😭
Hahahaha.................pale mbinu za Mwaka 47 zinavyoshindwa kufanya kazi Mwaka 2024 😜

Bora tumezeeka sasa 🙌
 
Unalizwa na mdogo wako? Embu grow up.
 
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.

Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.

Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Kama kadude kana fit vizuri kwenye jotojoto utelezi, freshy tu endelea nae. Kudanganywa umri tu unalia.
 
Ukimuacha tu huyo tayar umeharibu, we ishi nae mbona amna shida, kikubwa akuzidi akili tu na nguvu basi
 
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.

Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.

Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Wanawake kwa kweli mna matatizo ya kiakili, si bora huyu kakudanganya maana angekuambia ukweli usingemkubalia kwani ninyi mmeumbwa kupenda uwongo tu. Usimlaumu huyu dogo, wanawake mnadanganya sana wanaume kwa kuchanganya akili hata na watoto wao. Unakuta mtoto ana ubini wangu wa Mbongo Halisi na kazalıwa mwaka fulani kumbe nyumbani mtoto huyo huyo ana ubini mwingine na kazaliwa mwaka tofauti kabisa.
 
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.

Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.

Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Pole sana
 
Back
Top Bottom