Mpenzi wangu alinidanganya umri

Mpenzi wangu alinidanganya umri

Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu jamani kumbe kanidanganya umri Mimi ni ke nimezaliwa 1994 yeye me kazaliwa 1998 nimegundua ili baada ya kuona cheti cha kuzaliwa nalia na mto wangu tu Leo chumbani,nimedanganywa!!!! Nimedanganywa jamani hiii!!!! hiii!!! Aaaah!!! Nalia Mimi mwezenu mwanaume nilimpenda sana nashindwa Ku move on yoyo Mimi jamani nifanyeje nimedanganywa....angalieni chati izi jamani yoyo!!!!! Amenipotezea mda wangu.
 
4 years ni rika moja, kuna yule dogo siujui ndiye mume wa Zari, kijana anazidiwa miaka 12, ila ndio mapenzi, kwa muslims hata mtume alioa mwanamke anamzidi miaka 15.
 
Utofauti wa miaka minne (4) unaona Mkubwa?

Vipi nyie Ke mnaoweza Kudate na Wazee wa Miaka 65 wakati huo Ke ana miaka 25 mnaona ni sawa?
 
Nlivyoona kichwa cha mada nikapanga kukupa pole, kumbe mada yenyewe ni mapenzi 😂 ah ww jiue tuu
 
Back
Top Bottom