Mpenzi wangu alinidanganya umri

 
4 years ni rika moja, kuna yule dogo siujui ndiye mume wa Zari, kijana anazidiwa miaka 12, ila ndio mapenzi, kwa muslims hata mtume alioa mwanamke anamzidi miaka 15.
 
Utofauti wa miaka minne (4) unaona Mkubwa?

Vipi nyie Ke mnaoweza Kudate na Wazee wa Miaka 65 wakati huo Ke ana miaka 25 mnaona ni sawa?
 
Nlivyoona kichwa cha mada nikapanga kukupa pole, kumbe mada yenyewe ni mapenzi 😂 ah ww jiue tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…