Mpenzi wangu alinidanganya umri

Ni kawaida tu Wala usiwe na mashaka

Mbona Emmanuel macron rais wa ufaransa amemwoa mwalimu wake Brigitte aliyemfundisha elementary grade, mwalimu wake ana miaka 71 huku rais mwenyewe ana miaka 47 . 😃😃😃😃
 
cold water kweli yamekufika shigoni ?
 
Bado unautaka wewe usituletee Ishangazi, hongera kwa kujipatia kibenteni wa ndoto zako.
 
Hiyo ni sawa bwana haswa kipindi kile hakuna kikokotoo.. mzee kama wewe nasubiria utandikwe na Sukari na Stroko😂 . Ngoja nikuitie wakili wa utetezi Hope urassa team vibabu jukwaa lako
Hahaha.........Wazee na Mabinti wa Dogo ni Pete na kidole 🤗

Tena ukiwa naye anafanya tuendelee kujiona nasi ni Vijana, na ukitaka kutuudhi Wazee siye Ujidai unatuamkia Shikamoo zenu hizo😜
 
Kama anayamudu mambo ya msingi ikiwemo mgegedo jaribu kunyamaza!

Soko ni gumu sana huku nje.
 
Pole naona hilo so tatizo kwa msaada zaidi njo DM mimi nimeoa ntakupa experience age is just number ni uhalisia pia kumbuka nowadays kwenye ndoa hakuna kwenda kuzaa watoto wengi kama zamani mnaweza kuzaa watoto watatu maisha yakaendelea mkaona no problem
 
Pole ila mbona hamjazidiana sana kama mwili wake mkubwa haina shida ni vile tu akili nayo iwe imekomaa basi,ila si tunaodanganya umri aki unakuj kujuwa nikiwa nazikwa utasoma ktk msalaba
 
Sorry mamba mpya sio DM kwenye jf tunaita PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…