Mvi hizi ni za Uzee Mjukuu 🤗Sasa mtoto mdogo hivyo unakuwa na mvi ni laana au? Hakikisha ziambatane na pesa.
Woooi!!Mvi hizi ni za Uzee Mjukuu 🤗
Ukija kuniletea Kiko Babu yako utaona nilivyozeeka 😜
Ukute ni kweli bana ahahahaUtawaweza Wajukuu na utani Kwa Babu yao 🤗
Vizuri umejua hayo sasa na Maisha yanaend Lea tuliza mafuta hayo mwanamke hakuna aliekamilikaNina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.
Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.
Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Hiyo ni Nduru umepiga Mjukuu ama ni mshangao?Woooi!!
Na wewe una mashaka na umri wa Babu yenu hapa 😜Ukute ni kweli bana ahahaha
Kikongwe nini hiyo😃😃Na wewe una mashaka na umri wa Babu yenu hapa 😜
Msifanye ni - upload cheti cha Kuzaliwa nilichopewa enzi za Malikia Elizabeth miaka ile 🤗
Kuonesha nilivyokula chumvi nyingi 🤗Kikongwe nini hiyo😃😃
Nenda kamsemee kwa mama ake amchapeNina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.
Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.
Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Sawa nimekukopyKuonesha nilivyokula chumvi nyingi 🤗
OkaySawa nimekukopy
Wengine wapo ngangari unashangaa miaka inaenda hàkuna kisukari hakuna stroko mpaka unaanza kuumwa weweHiyo ni sawa bwana haswa kipindi kile hakuna kikokotoo.. mzee kama wewe nasubiria utandikwe na Sukari na Stroko[emoji23] . Ngoja nikuitie wakili wa utetezi Hope urassa team vibabu jukwaa lako
Sio kwa maisha haya ya udhamini wa ccmWengine wapo ngangari unashangaa miaka inaenda hàkuna kisukari hakuna stroko mpaka unaanza kuumwa wewe
Aisee pole sana. Hakikisha unamfikisha Polisi ili afunguliwe kesi ya kujipatia demu kwa njia ya udanganyifuNina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.
Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.
Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Wakuu huyu Dada apuuzweNina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.
Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.
Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Aaaah wapi... Atoto ni kweli anayosema huyu mzeeNa wewe una mashaka na umri wa Babu yenu hapa 😜