Mpenzi wangu alinidanganya umri

Mpenzi wangu alinidanganya umri

Sasa mtoto mdogo hivyo unakuwa na mvi ni laana au? Hakikisha ziambatane na pesa.
Mvi hizi ni za Uzee Mjukuu 🤗

Ukija kuniletea Kiko Babu yako utaona nilivyozeeka 😜
 
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.

Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.

Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Vizuri umejua hayo sasa na Maisha yanaend Lea tuliza mafuta hayo mwanamke hakuna aliekamilika
 
ipi afadhali kudanganywa umri na mtoto au kulawotiwa ja RC mwenye PhD?
 
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.

Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.

Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Nenda kamsemee kwa mama ake amchape
 
Shida n hiyo 30 na hiyo 26 hahaaaaaa......

Naukute umekufa na kuoza,
Pole
 
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.

Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.

Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Aisee pole sana. Hakikisha unamfikisha Polisi ili afunguliwe kesi ya kujipatia demu kwa njia ya udanganyifu
 
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.

Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.

Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Wakuu huyu Dada apuuzwe
 
Back
Top Bottom