Mpenzi wangu alinidanganya yeye ni bikra!

Habari wana Jf

Leo naandika uzi huu moyo wangu ukiwa umejaa huzuni sana sielewi hata la kufanya!

Ipo hivi mwaka 2021 nikiwa chuo, nilikutana binti mmoja classmate, nikatokea kuvutiwa naye maana alikuwa na kila sifa nilizohitaji; Sura, Tako + Mguu wa bia. Basi mwanaume nikamtongoza binti akakubali ila sharti mzigo mpaka tufunge ndoa maana yeye ni bikra!

Basi mwamba nikakubali huku nachachua kwa pisi zingine, mwaka huu tarehe 03 September, 2023. tulifunga ndoa ya kikristo.

Shida Inaanza: Baada ya sherehe usiku ukawadia mwanaume nichakate mbususu yangu iliyohalarishwa keep sheria, Sikuamini macho yangu kukuta binti hana bikra,,,,,, Yani kiufupi breki ilikuwa ni mbupu.

Sasa wadau nashindwa nimfanyaje kwa kosa la udanganyifu alilonifanyia! Maana mpaka sasa sijamwambia chochote bado.

Na tangu kitambo nishajiapiza sitaoa mwanamke asiye bikra, hapa ni kama nimeoa mke wa mtu.

NAHITAJI USHAURI NINI NIFANYE
mzee utanunuaje simu ikiwa ndan ya box pasipo kuikagua umechagua iphone umekutana na itel[emoji23][emoji23]
 
Habari wana Jf

Leo naandika uzi huu moyo wangu ukiwa umejaa huzuni sana sielewi hata la kufanya!

Ipo hivi mwaka 2021 nikiwa chuo, nilikutana binti mmoja classmate, nikatokea kuvutiwa naye maana alikuwa na kila sifa nilizohitaji; Sura, Tako + Mguu wa bia. Basi mwanaume nikamtongoza binti akakubali ila sharti mzigo mpaka tufunge ndoa maana yeye ni bikra!

Basi mwamba nikakubali huku nachachua kwa pisi zingine, mwaka huu tarehe 03 September, 2023. tulifunga ndoa ya kikristo.

Shida Inaanza: Baada ya sherehe usiku ukawadia mwanaume nichakate mbususu yangu iliyohalarishwa keep sheria, Sikuamini macho yangu kukuta binti hana bikra,,,,,, Yani kiufupi breki ilikuwa ni mbupu.

Sasa wadau nashindwa nimfanyaje kwa kosa la udanganyifu alilonifanyia! Maana mpaka sasa sijamwambia chochote bado.

Na tangu kitambo nishajiapiza sitaoa mwanamke asiye bikra, hapa ni kama nimeoa mke wa mtu.

NAHITAJI USHAURI NINI NIFANYE
kwanz hapo unachakata pemben na yeye anachakachuliwa pemben yan kifup ww ni lofaaaa
 
Wewe ulikuwa nayo before? Huwezi muuliza mwenzako hilo swali wakati wewe hukuwa nayo, wote hamkuwa waaminifu kwa mwenzake
 
Habari wana Jf

Leo naandika uzi huu moyo wangu ukiwa umejaa huzuni sana sielewi hata la kufanya!

Ipo hivi mwaka 2021 nikiwa chuo, nilikutana binti mmoja classmate, nikatokea kuvutiwa naye maana alikuwa na kila sifa nilizohitaji; Sura, Tako + Mguu wa bia. Basi mwanaume nikamtongoza binti akakubali ila sharti mzigo mpaka tufunge ndoa maana yeye ni bikra!

Basi mwamba nikakubali huku nachachua kwa pisi zingine, mwaka huu tarehe 03 September, 2023. tulifunga ndoa ya kikristo.

Shida Inaanza: Baada ya sherehe usiku ukawadia mwanaume nichakate mbususu yangu iliyohalarishwa keep sheria, Sikuamini macho yangu kukuta binti hana bikra,,,,,, Yani kiufupi breki ilikuwa ni mbupu.

Sasa wadau nashindwa nimfanyaje kwa kosa la udanganyifu alilonifanyia! Maana mpaka sasa sijamwambia chochote bado.

Na tangu kitambo nishajiapiza sitaoa mwanamke asiye bikra, hapa ni kama nimeoa mke wa mtu.

NAHITAJI USHAURI NINI NIFANYE
Mkuu Kwan ulohaidiwa kweny kampeni za ccm yote yako sahihi
 
Licha ya kupata heshima kupata binti bikra ila kama huo u-bikra hauna positive impact kwenye mfumo wa maisha yenu basi nawashangaa sana mnaowaobeza mabinti ambao sio bikra.
 
Aisee!.

Tit for Tat. Mungu anakupa wa kufanana na kuendana naye.

Wewe ulidhani uendelee kuchachua vitumbua vya wengine, huku chako kikitunzwa kinakusubiri?

Kwa nini wewe usijilaumu kwa kutokuwa Bikra?

Tuachane na hayo yote, hivi Bikra ingekusaidia nini wewe? Ingeongeza kiwango chako kiuchumi? Ingeimarisha afya yako? Bikra watu wanaupa umuhimu uliopitiliza.

Kama ambavyo unadai umeoa mke wa mtu, basi naye kaolewa na mume wa mtu.
Hilo nalo neno!
 
Habari wana Jf

Leo naandika uzi huu moyo wangu ukiwa umejaa huzuni sana sielewi hata la kufanya!

Ipo hivi mwaka 2021 nikiwa chuo, nilikutana binti mmoja classmate, nikatokea kuvutiwa naye maana alikuwa na kila sifa nilizohitaji; Sura, Tako + Mguu wa bia. Basi mwanaume nikamtongoza binti akakubali ila sharti mzigo mpaka tufunge ndoa maana yeye ni bikra!

Basi mwamba nikakubali huku nachachua kwa pisi zingine, mwaka huu tarehe 03 September, 2023. tulifunga ndoa ya kikristo.

Shida Inaanza: Baada ya sherehe usiku ukawadia mwanaume nichakate mbususu yangu iliyohalarishwa keep sheria, Sikuamini macho yangu kukuta binti hana bikra,,,,,, Yani kiufupi breki ilikuwa ni mbupu.

Sasa wadau nashindwa nimfanyaje kwa kosa la udanganyifu alilonifanyia! Maana mpaka sasa sijamwambia chochote bado.

Na tangu kitambo nishajiapiza sitaoa mwanamke asiye bikra, hapa ni kama nimeoa mke wa mtu.

NAHITAJI USHAURI NINI NIFANYE
Chaiii
 
Nini Bikr

Nini Bikra, hata angekuwa na mtoto lakini ana sifa za kuwa Mke sioni tatizo.
Ni afadhali ambaye hana na anatambua thamani ya utu wake kuliko aliyenayo akashindwa kutunza thamani ya utu wake.
 
Back
Top Bottom