Mpenzi wangu amebadilisha dini tangu amenda kufanya kazi nchi za kiarabu

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Iko hivi mimi nilikuwa na msichana na tulipanga malengo tuoane kabisa huku Kenya sasa tatizo huyuu demu tarehe 05 mwezi wa 12 alipata kazi huko nchi za kiarabu yaan alienda Madina sasa huko sijuii bhana kimetokea nini bhana ametoka hapa ni Katolic na humwambiii kituu kuhusu kanisa.

Na hata hapa tulikuwa tunajibanjua mapenzi moto moto bhan sasa hivi amesema wamembadilisha dini anavaaa yale manguoo anaswali na hata sijuii kageuka vipi na anasema akija habanjuki tena na mimi mpaka ndoa havaiii nguo fupi sijuii nini yaaa nashindwa kumuelewa.

Sasa sijuii warabu wamemrogaa yaan nikiongea nae kwa sasa mamboo ya ajabu sijui kuswali sijuii nini na alikuwa Ibada ni Jumapili tuu na hata alikuwa akija hapa getoo hanisumbuii yaaan kwenda hukoo ndio kaharibika sasa mimi huwa sio muumini wa dini yeyote ile ila ananiudhii na upuuuzi wake mara kuswali mimi nampotezea bhanaaa au mnasemajee wadauu
 
Sasa unatuambia sisi ili iweje?
 
Back
Top Bottom