Mpenzi wangu amejisaidia haja ndogo kitandani, kumuuliza akasema ni bahati mbaya

Mie jana usiku nimelimwaga nusu na uzee wangu, nikashtuka na kuelekea maliwatoni kulimalizia....ilikuwa ndoto tamu sana, usingizi mtamu uliochanganyika na uchovu...nikakumbuka zamani nilipokuwa mdogo na ndoto za vichakani
 
Wewe unamchumbia sababu unahitaji kuoa lakini si kweli kwamba unampenda usitudanganye
Unconditional love haina sababu ya kupunguza upendo kama kweli unampenda
Mfano wewe kesho ukiamka unakilema chochote na akaendelea kuwa na wewe huo ni upendo wa kweli
Na kukojoa ni tatizo linalotibika,mfanye awe huru akueleze kila kitu kuhusu tatizo lake then muanzie alipoishia,huyo Dada atakupenda na kukuheshimu sana....usimkimbie sio solution

ni wachache sana tunaoana baada ya kupendana, wengi ni kutamani tu na kuamini wenzi wetu wanatosha kujibu matamanio yetu material na non material. upendo huanza kujengwa mkikaa naye saaana tu.
 
Kwa style hii,
Wenye vikwapa wataachwa,
Wenye mabusha wataachwa,
Wenye kunuka mdomo wataachwa,
Wenye UTI wataachwa,
Wenye kifafa wataachwa,
Wenye hedhi mfululizo wataachwa,
Wenye Bawasiri (if I spell correctly) wataachwa,
Na mengine kama hayo.
 
Wanaukumbi kwanza nawasalimu nyinyi nyote mtakaosoma post yangu hii.Nirudi kwenye mada, ninaye mpenzi ambaye tumedumu naye karibu mwezi mmoja na nusu yeye anakaa kwake amepanga nyumba na mimi ninakaa kwangu sasa katika huo muda wa mahusiano kuna muda hua naenda kulala kwake kama mara nne hivi vivyo hivyo naye huwa anakuja kulala kwangu.

Sasa sababu ya kuleta post hii hapa jamvini ili nipate ushauri, ni kwamba kuna siku alilala kwangu wakati wa usiku wa manane nikajihisi nimelalia maji nilivyoshituka kumshitua mpenzi wangu kwamba haya maji yametoka wapi akasema ni yeye amekojoa kwa bahati mbaya. Nilivyombana ni kwanini akojoe kitandani badala ya chooni akasema mkojo ulikuwa umembana sasa akasema ngoja alale kidogo ndoto ikamjia anakojoa nje kumbe ni kitandani.

Nilivyomuuliza kama hali hiyo ilishajitokeza huko nyuma akasema kama miaka mitatu iliyopita tukio hilo lilijitokeza ombi langu kwenu wadau huyu ni mpenzi niliyekuwa nina mpango wa kumchumbia hivi karibuni lakini kwa tabia hii nimevunjika moyo kabisa, nilikuwa naomba ushauri katika jambo hili kama kweli linaweza kujitokeza kwa mtu kukojoa kitandani kwa bahati mbaya au hilo ni tatizo la kudumu.

Hilo ni Kawaida alafu usimwache nasikia vikojozi wanazaa balaa hiyo ni bahati yako.
 
Sio sababu ya kumuacha! Muangalie vigezo vya kuwa mke, ktk hivo vigezo vya kujikojolea havipo! Ila kama hana vigezo vya kushiba, hasa ktk life plan and budget, caring of other family members.... Achana nae mapema! Ila mpe muda kwanza 1month n mdogo sana, kaa naye hata 2yrs hv
 
Wanaukumbi kwanza nawasalimu nyinyi nyote mtakaosoma post yangu hii.Nirudi kwenye mada, ninaye mpenzi ambaye tumedumu naye karibu mwezi mmoja na nusu yeye anakaa kwake amepanga nyumba na mimi ninakaa kwangu sasa katika huo muda wa mahusiano kuna muda hua naenda kulala kwake kama mara nne hivi vivyo hivyo naye huwa anakuja kulala kwangu.

Sasa sababu ya kuleta post hii hapa jamvini ili nipate ushauri, ni kwamba kuna siku alilala kwangu wakati wa usiku wa manane nikajihisi nimelalia maji nilivyoshituka kumshitua mpenzi wangu kwamba haya maji yametoka wapi akasema ni yeye amekojoa kwa bahati mbaya. Nilivyombana ni kwanini akojoe kitandani badala ya chooni akasema mkojo ulikuwa umembana sasa akasema ngoja alale kidogo ndoto ikamjia anakojoa nje kumbe ni kitandani.

Nilivyomuuliza kama hali hiyo ilishajitokeza huko nyuma akasema kama miaka mitatu iliyopita tukio hilo lilijitokeza ombi langu kwenu wadau huyu ni mpenzi niliyekuwa nina mpango wa kumchumbia hivi karibuni lakini kwa tabia hii nimevunjika moyo kabisa, nilikuwa naomba ushauri katika jambo hili kama kweli linaweza kujitokeza kwa mtu kukojoa kitandani kwa bahati mbaya au hilo ni tatizo la kudumu.

Ndio, inaweza ikatokea mtu akajikojolea kwa bahati mbaya lakini pia inaweza ikawa ni ugonjwa. Matatabibu wa afya peke yake ndio wanaweza kukuthibtishia kama huo ni ugonjwa au la.

Lakini kwa upande mwingine sioni sababu ya wewe kumuacha mpenzi wako kwa sababu ya ugonjwa ambao unatibika. Mtu mwenye upendo wa kweli kwa mwenzi wake huwa ni mvumilivu na hustamihimili yote. Sasa kama wewe unashindwa kumvumilia mwenzi wako sasa hivi kwa sababu ya ugonjwa wake hivi utaweza kumvumilia huko mbeleni endapo itatoke ataugua ugonjwa mkubwa zaidi ya huu au ndo utamtelekeza kama unavyotaka kumtelekeza hivi sasa?

Anyway all in all, kama kweli unampenda mpenzi wako mimi nakushauri ukae chini mlizungumzie ili swala la mkubaliane kwenda hospitali ili mpate ufumbuzi wa hili tatizo.
 
Ha ha ha ila sishangai wala coz hata now inanitokeaga ila nawah kushtuka kabla ya tukio....mi naona kwa kuwa mleta uzi kasema ni mara moja tuu may be ndio kupitiliza kama sisi

Haha mimi pia nimehisi hivyo,ampe mda kidg tuone
 
Ndio, inaweza ikatokea mtu akajikojolea kwa bahati mbaya lakini pia inaweza ikawa ni ugonjwa. Matatabibu wa afya peke yake ndio wanaweza kukuthibtishia kama huo ni ugonjwa au la.

Lakini kwa upande mwingine sioni sababu ya wewe kumuacha mpenzi wako kwa sababu ya ugonjwa ambao unatibika. Mtu mwenye upendo wa kweli kwa mwenzi wake huwa ni mvumilivu na hustamihimili yote. Sasa kama wewe unashindwa kumvumilia mwenzi wako sasa hivi kwa sababu ya ugonjwa wake hivi utaweza kumvumilia huko mbeleni endapo itatoke ataugua ugonjwa mkubwa zaidi ya huu au ndo utamtelekeza kama unavyotaka kumtelekeza hivi sasa?

Anyway all in all, kama kweli unampenda mpenzi wako mimi nakushauri ukae chini mlizungumzie ili swala la mkubaliane kwenda hospitali ili mpate ufumbuzi wa hili tatizo.

asante mkuu
 
noted brother
 
asante mkuu ila baada ya tukio hilo upendo wangu kwake umeisha kabisa najiuliza kama nikimuoa alafu kaenda kukojoa ukweni (kwetu) sijui nitaelewekaje huko nyumbani
Vipi kuhusu wanaume nao baadhi wanatatizo kama hili au linawahusu wanawake tu

Nisamehe siwezi kuedit lakini maneno uliyotumia kama vile"ukweni... Sijui nitaelewekaje... nk" kwa nza inaonesha hujaweza kuishi maisha yako, unaishi na maamuzi yako si yako ni ya jamii"wakwe" waliopo huko walipo(kijjni?). Ndugu jitahidi uwe wewe na maamuzi yako yawe yako hapo ndipofuraha ya maisha yako utaweza kuiona la sivyo utaishi maisha yao na si yako!
Kwa upande wa tatizo uliloleta mezani, wala lisikuondolee upendo wako kwake. (na hili kama usingekuwa mfungwa wa jamii yako ungeliona ktk dimension tofauti. Amejitahk
 
Watu wanajikojolea kitandani na ukubwa wao halafu watu wanasema nikawaida!hapana aisee, kwa watoto wadogo nisawa lakini kwa mtu mzima hata ulale umelewa bado huwezi kujikojolea kitandani hayo nimapungufu tukubali tukatae.tutafute tiba hii habari ya kuota unakojoa IPO lakini bado haiwezi kua kigezo cha kulimwaga kojo zima mpaka likaisha mmh.
 
Wanaukumbi kwanza nawasalimu nyinyi nyote mtakaosoma post yangu hii.Nirudi kwenye mada, ninaye mpenzi ambaye tumedumu naye karibu mwezi mmoja na nusu yeye anakaa kwake amepanga nyumba na mimi ninakaa kwangu sasa katika huo muda wa mahusiano kuna muda hua naenda kulala kwake kama mara nne hivi vivyo hivyo naye huwa anakuja kulala kwangu.

Sasa sababu ya kuleta post hii hapa jamvini ili nipate ushauri, ni kwamba kuna siku alilala kwangu wakati wa usiku wa manane nikajihisi nimelalia maji nilivyoshituka kumshitua mpenzi wangu kwamba haya maji yametoka wapi akasema ni yeye amekojoa kwa bahati mbaya. Nilivyombana ni kwanini akojoe kitandani badala ya chooni akasema mkojo ulikuwa umembana sasa akasema ngoja alale kidogo ndoto ikamjia anakojoa nje kumbe ni kitandani.

Nilivyomuuliza kama hali hiyo ilishajitokeza huko nyuma akasema kama miaka mitatu iliyopita tukio hilo lilijitokeza ombi langu kwenu wadau huyu ni mpenzi niliyekuwa nina mpango wa kumchumbia hivi karibuni lakini kwa tabia hii nimevunjika moyo kabisa, nilikuwa naomba ushauri katika jambo hili kama kweli linaweza kujitokeza kwa mtu kukojoa kitandani kwa bahati mbaya au hilo ni tatizo la kudumu.

muhukumu msaidie apone muone Mzizi mkavu atakusaidia huwezi acha mpenzio kwa ajili ya maradhi na wala usipende kuliongelea hili mara kwa mara ukamnyog'onyesha bure wakati wa shida ndio wakati wa kuonyesha unajali na kuongeza mahaba... huwezi jua ( Allah forbit) wewe waweza ugua kushusha kimba kabisa akukimbie?
Usi
 
Last edited by a moderator:
asante mkuu ila baada ya tukio hilo upendo wangu kwake umeisha kabisa najiuliza kama nikimuoa alafu kaenda kukojoa ukweni (kwetu) sijui nitaelewekaje huko nyumbani
Vipi kuhusu wanaume nao baadhi wanatatizo kama hili au linawahusu wanawake tu

Nisamehe siwezi kuedit lakini maneno uliyotumia kama vile"ukweni... Sijui nitaelewekaje... nk" kwa nza inaonesha hujaweza kuishi maisha yako, unaishi na maamuzi yako si yako ni ya jamii"wakwe" waliopo huko walipo(kijjni?). Ndugu jitahidi uwe wewe na maamuzi yako yawe yako hapo ndipofuraha ya maisha yako utaweza kuiona la sivyo utaishi maisha yao na si yako!
Kwa upande wa tatizo uliloleta mezani, wala lisikuondolee upendo wako kwake. (na hili kama usingekuwa mfungwa wa jamii yako ungeliona ktk dimension tofauti.Amejitahidi kukupa ushirikiano.

Tukiyaacha hayo, wadau wamekupa ushauri wa tiba, ni ugonjwa unatibika ni sawa lakini kinacho msumbua ni zaidi ya ugonjwa, ni shetani anamwonea huyo Dada. Lengo ni kumwaibisha ili anapopata mchumba (na bahati mbaya sana (m) anafanya uzinzi) mchumba amdharau, afikirie itakuwaje watu, wazazi, kijijini majirani.. nk wakijua na mwisho upendo unayeyuka kama donge la barafu kwenye jua la darisalama kama tayari ilivyokwisha tokea kwako.

Ninachokiona hapo ni wewe ndio wa kumsaidia. Anaaibishwa tu na adui, wala kwa habari yako si mgonjwa.kuna roho zinawafuatilia watu(hasa wanawake) ili wasikutane na watu wao sahihi maishani na pindi wakikutana basi vituko kama hivyo hutokea.
Nini cha kufanya? : msaidie kwa matbabu kama ulivyoshauriwa, ikiendelea mlete kwa MNAZARETI daktari asiyeshindwa. Ningekushauri uanzie Kwa Mnazareti kwa ajili ya ndoto, ndoto ndio inaudanganya na kuuzuia mwili usiamke, unapobanwa haja.
Kwa pamoja tutayajenga maisha.
 
Naitwa Dr. Zahir
Ntafute private kwa namba hii
0655. 944. 268
Ntakusaidia
This is psychosis problem
 
Unaogopa mkojo wa mwanamke wakati kwa wengine hayo ni mahaba. Watu wanakula mpaka...
 
Wanaukumbi kwanza nawasalimu nyinyi nyote mtakaosoma post yangu hii.Nirudi kwenye mada, ninaye mpenzi ambaye tumedumu naye karibu mwezi mmoja na nusu yeye anakaa kwake amepanga nyumba na mimi ninakaa kwangu sasa katika huo muda wa mahusiano kuna muda hua naenda kulala kwake kama mara nne hivi vivyo hivyo naye huwa anakuja kulala kwangu.

Sasa sababu ya kuleta post hii hapa jamvini ili nipate ushauri, ni kwamba kuna siku alilala kwangu wakati wa usiku wa manane nikajihisi nimelalia maji nilivyoshituka kumshitua mpenzi wangu kwamba haya maji yametoka wapi akasema ni yeye amekojoa kwa bahati mbaya. Nilivyombana ni kwanini akojoe kitandani badala ya chooni akasema mkojo ulikuwa umembana sasa akasema ngoja alale kidogo ndoto ikamjia anakojoa nje kumbe ni kitandani.

Nilivyomuuliza kama hali hiyo ilishajitokeza huko nyuma akasema kama miaka mitatu iliyopita tukio hilo lilijitokeza ombi langu kwenu wadau huyu ni mpenzi niliyekuwa nina mpango wa kumchumbia hivi karibuni lakini kwa tabia hii nimevunjika moyo kabisa, nilikuwa naomba ushauri katika jambo hili kama kweli linaweza kujitokeza kwa mtu kukojoa kitandani kwa bahati mbaya au hilo ni tatizo la kudumu.

Mbona kawaida hiyo tu bro. Sasa anakojoa kitandani unafikiria kumuacha jee akija kupata maradhi ya kupooza wakati wa ndoa si itakuwa balaa. mstahamilie na wewe unajamba usingizini kakustahamilia pia.
 
Back
Top Bottom