Wewe unamchumbia sababu unahitaji kuoa lakini si kweli kwamba unampenda usitudanganye
Unconditional love haina sababu ya kupunguza upendo kama kweli unampenda
Mfano wewe kesho ukiamka unakilema chochote na akaendelea kuwa na wewe huo ni upendo wa kweli
Na kukojoa ni tatizo linalotibika,mfanye awe huru akueleze kila kitu kuhusu tatizo lake then muanzie alipoishia,huyo Dada atakupenda na kukuheshimu sana....usimkimbie sio solution
Wanaukumbi kwanza nawasalimu nyinyi nyote mtakaosoma post yangu hii.Nirudi kwenye mada, ninaye mpenzi ambaye tumedumu naye karibu mwezi mmoja na nusu yeye anakaa kwake amepanga nyumba na mimi ninakaa kwangu sasa katika huo muda wa mahusiano kuna muda hua naenda kulala kwake kama mara nne hivi vivyo hivyo naye huwa anakuja kulala kwangu.
Sasa sababu ya kuleta post hii hapa jamvini ili nipate ushauri, ni kwamba kuna siku alilala kwangu wakati wa usiku wa manane nikajihisi nimelalia maji nilivyoshituka kumshitua mpenzi wangu kwamba haya maji yametoka wapi akasema ni yeye amekojoa kwa bahati mbaya. Nilivyombana ni kwanini akojoe kitandani badala ya chooni akasema mkojo ulikuwa umembana sasa akasema ngoja alale kidogo ndoto ikamjia anakojoa nje kumbe ni kitandani.
Nilivyomuuliza kama hali hiyo ilishajitokeza huko nyuma akasema kama miaka mitatu iliyopita tukio hilo lilijitokeza ombi langu kwenu wadau huyu ni mpenzi niliyekuwa nina mpango wa kumchumbia hivi karibuni lakini kwa tabia hii nimevunjika moyo kabisa, nilikuwa naomba ushauri katika jambo hili kama kweli linaweza kujitokeza kwa mtu kukojoa kitandani kwa bahati mbaya au hilo ni tatizo la kudumu.

Ha ha ha ila sishangai wala coz hata now inanitokeaga ila nawah kushtuka kabla ya tukio....mi naona kwa kuwa mleta uzi kasema ni mara moja tuu may be ndio kupitiliza kama sisi
Ndio, inaweza ikatokea mtu akajikojolea kwa bahati mbaya lakini pia inaweza ikawa ni ugonjwa. Matatabibu wa afya peke yake ndio wanaweza kukuthibtishia kama huo ni ugonjwa au la.
Lakini kwa upande mwingine sioni sababu ya wewe kumuacha mpenzi wako kwa sababu ya ugonjwa ambao unatibika. Mtu mwenye upendo wa kweli kwa mwenzi wake huwa ni mvumilivu na hustamihimili yote. Sasa kama wewe unashindwa kumvumilia mwenzi wako sasa hivi kwa sababu ya ugonjwa wake hivi utaweza kumvumilia huko mbeleni endapo itatoke ataugua ugonjwa mkubwa zaidi ya huu au ndo utamtelekeza kama unavyotaka kumtelekeza hivi sasa?
Anyway all in all, kama kweli unampenda mpenzi wako mimi nakushauri ukae chini mlizungumzie ili swala la mkubaliane kwenda hospitali ili mpate ufumbuzi wa hili tatizo.

asante mkuu ila baada ya tukio hilo upendo wangu kwake umeisha kabisa najiuliza kama nikimuoa alafu kaenda kukojoa ukweni (kwetu) sijui nitaelewekaje huko nyumbani
Vipi kuhusu wanaume nao baadhi wanatatizo kama hili au linawahusu wanawake tu
Wanaukumbi kwanza nawasalimu nyinyi nyote mtakaosoma post yangu hii.Nirudi kwenye mada, ninaye mpenzi ambaye tumedumu naye karibu mwezi mmoja na nusu yeye anakaa kwake amepanga nyumba na mimi ninakaa kwangu sasa katika huo muda wa mahusiano kuna muda hua naenda kulala kwake kama mara nne hivi vivyo hivyo naye huwa anakuja kulala kwangu.
Sasa sababu ya kuleta post hii hapa jamvini ili nipate ushauri, ni kwamba kuna siku alilala kwangu wakati wa usiku wa manane nikajihisi nimelalia maji nilivyoshituka kumshitua mpenzi wangu kwamba haya maji yametoka wapi akasema ni yeye amekojoa kwa bahati mbaya. Nilivyombana ni kwanini akojoe kitandani badala ya chooni akasema mkojo ulikuwa umembana sasa akasema ngoja alale kidogo ndoto ikamjia anakojoa nje kumbe ni kitandani.
Nilivyomuuliza kama hali hiyo ilishajitokeza huko nyuma akasema kama miaka mitatu iliyopita tukio hilo lilijitokeza ombi langu kwenu wadau huyu ni mpenzi niliyekuwa nina mpango wa kumchumbia hivi karibuni lakini kwa tabia hii nimevunjika moyo kabisa, nilikuwa naomba ushauri katika jambo hili kama kweli linaweza kujitokeza kwa mtu kukojoa kitandani kwa bahati mbaya au hilo ni tatizo la kudumu.
asante mkuu ila baada ya tukio hilo upendo wangu kwake umeisha kabisa najiuliza kama nikimuoa alafu kaenda kukojoa ukweni (kwetu) sijui nitaelewekaje huko nyumbani
Vipi kuhusu wanaume nao baadhi wanatatizo kama hili au linawahusu wanawake tu
nkasi mkuu
Nkasi sehemu gani mkuu? Mim nipo Msunkumilo hapa chini karibu na mzee Mweupe