Hakuna kitu sipendi kama kulazimishwa au kukumbushwa majukumu
Mwanamke wangu akiniambia Kauli kama
1. Wanawake tunapenda hela
2. Wanawake tunapenda zawadi
3. Wanawake tunapenda kutolewa out
4. Wanawake tunapenda kubembelezwa
Acha nikupe hela, zawadi, nikutoe out, nikubembeleze kwa muda wangu na misingi yangu, kazi yako wewe ni ku enjoy tu na kushukuru inatosha, nitajua unapenda hicho kitu
Ila siyo uniambie unachopenda, mbaya zaidi unajijumlisha na wanawake wengine means unaiga mambo wanayofanyiwa wenzako.
Nikiambiwa hizo kauli zinanikata mood kabisa naacha na kukupa hizo attention zote, ni kama unaniforce niishi kwenye misingi yako.
Hapo sasa ntamtoa kwenye malengo yangu yote ntampa zawadi au hela nikiwa na nyege zangu tu, ntamtoa out nikiwa na upwiru wangu tu, kubembelezwa ndo asahau kabisa