Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapendwi mtu, inapendwa pochi tu!!.Ukiona demu mkali kaolewa na Masudi sura mbaya,ujue Masudi sura mbaya ana pochi nene!!Katika maongezi na shemeji yenu amefunguka kuniambia
"Yaani wanawake tunataka hela, twende mbele turudi nyuma tunataka hapa huku akipigisha vidole kama anahesabu hela"
Maoni Yangu Naona ni sawa kumuhudumia mwanamke ila si sawa yeye kusema wanawake tunataka hela Naona kama ni makosa makubwa.
Karibuni
Ukiona hivyo uyo Cha wote na yupo kwako kimaslahifulan tuuuKatika maongezi na shemeji yenu amefunguka kuniambia
"Yaani wanawake tunataka hela, twende mbele turudi nyuma tunataka hapa huku akipigisha vidole kama anahesabu hela"
Maoni Yangu Naona ni sawa kumuhudumia mwanamke ila si sawa yeye kusema wanawake tunataka hela Naona kama ni makosa maku
Ahaha ngoja awe na subira atatupa mrejesho tuuuuuMimi sio shehe Yahaya Huseni ila nakutabiria huyo mwanamke wako siku sio nyingi atakwambia maneno haya:
"sawa nadanga, niache nidange
inakuuma nn kwenda buza
kushuka kwa mpalange.
sawa malaya, niache nipuyange
style zote naaziweza hadi kifo cha mende.
Sioi mashoga mikundu kuozaNakuja unioe
Upo wapi mume