kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Habarini wakuu , natumai mu wazima sana.
Ishu iko hivi , wiki kadhaa nyuma kuna kitu kilitokea. Wakati nimetulia gheto na mchumba ,nilikuwa nimemuazima kidogo simu yake.
Mara kuna text ikaingia ,nikaamua kuisomea tu kwa juu ya screen nikaiyona kwamba imetoka kwa mtu ninaemfaham , tena na rafiki yang kabisa.Nikajiuliza tu kuna ishu gani kati yao.ila nikaamua kutulia nisiulize kwanza.
Baada ya kupita kama wiki moja hivi , akili ikanicheza ,nikasema ngoja nifatilie hawa watu wana ishu gani .nikafikiria nikaamua kwa sababu namba zao zote ninazo ngoja nichukue picha ya manzi niweke status labda nitagundua chochote.
Kweli bhna. Katika kupitia pitia reply za watu, nikakuta na reply ya huyo mshkaji ,ni rafiki lakini siyo kivilee, ikiwa inanichombeza kuhusu huyo manzi ,mfano "aaisee hivi huyu manzi nani anakula" "au ndo shemeji nini " maswali maswali kibao.majibu yangu yalikuwa mafupi tu kwamba anaekula simfahamu.
Kama ngekewa jamaa akaamua kufunguka kama huyo manzi ni mpenzi wake na washaonana ghetto kwake kashaenda zaidi ya mara mbili ,na akafunguka hadi muda wa uhusiano wao kwamba hawana hata miezi mitatu.
Sijajua sasa hapa nifanyaje , je nimwambie ukweli manzi. Nimuulize vizuri anijibu au nimchane jamaa , sijaelewa nifanye nini.
Naombeni ushauri wenu wadau .nifanyaje.?