Mpenzi wangu ana mahusiano na rafiki yangu

Ww kipaumbele chako ni nini?

Ulitaka kumuoa?

Kama jibu ni no basi angalia kipaumbele chako kilichokupeleka kwake.
 
Endelea kuburudika akidhani anamchepuko na ww labda wa malengo kwake ww.unamfanya mchepuko. Mshushe vyeo.ila mtumie kwa haja zako tu za kimwili kuoa au malengo mtoe na hata akijua iwe usha move on salama abakie na maumivu
 
Shika mia zako kaka, huyo mwanamke unayesema ni mpenzi wako yeye ndiye anayejua nani ni mpenzi wake.
Muulize,.
Ila ningekuwa mm ningefanya wote wajue . Then tuone mdada atachagua nan

Na akikuchagua ww piga tu na usiweke malengo.

Akichagua mshkaj , then utakuwa unajua huyo jamaa kakuzid nn na itakuongezea maarifa
 
Kinachoniuma Tz ya sasa wanaume wa kweli tumebaki wachache. Wavulana wengi sana. unapewa ukweli unakuja omba ushaur
 
cha kufanya,wewe sasa ndio uwe mchepuko
 
Kwa vile Jamaa ametangulia kukupa taarifa juu ya Uhusiano wao, sasa hivi wewe ndiye unakula Demu Wa Jamaa yako..
 
Wahenga husema kizur kula na ndugu ako
 
Sasa hapo shida nini? Piga pumbu na jamaa apge pumbu mambo ya kupenda toto l mtu ni ungesee mkuu
 
Mwambie demu ,mfanye ajue kua umejua kuna A B C .


Akikiri nikweli.... Mjulishe jamaa, kua Dem alikua ni demu wako...ila umeamua kumpiga chini.
 
Kama nakuona unavyohema kwa muhaho na kihoro cha kuchukuliwa demu wako [emoji2] ujana kitu mbaya sana.

Mwambie ukweli ujue mbivu na mbichi kabla hujabamizwa kizembe zembe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…