mpenzi wangu ana moyo chuma.

mpenzi wangu ana moyo chuma.

best jiangalie sana na mtu kama huyu nikiwa ninamaana hii kwamba anakupenda sana ila usimfanye achokwe au akuchoke mana ukifanya hvyo utasababisha yeye kukuchukia zaid. Na lingne usitafute sababu ili ujue yupo vp wewe cha msing muheshmu na endelea kupendana nae hujui ameyaficha mangap una ukitaka kujua upandewake wa pili upoje shaur yako haya
 
Maelezo yako mafupi sana kuweza kujua nini kinaendelea,ili niweze kukomenti,

mfano naweza kumset mdada twende nae mahali alafu tunahakikisha anajua kuwa tutaenda mahali fulani hata nikirudi haulizi,haogopi wala hauliz na kuna wakati linatokea tukio baya hata mi kuingiwa na hofu mwisho wa siku hamna lolote yaani
 
Hebu tuambie ulishawahi kusikia kwa mtu yeyote yule anakuzungumziaje anapokuwa na watu wengine? anakuelezea kama mtu wa future yake au napo huuchuna tu. Ama ana uwezo mkubwa wa kutambua kuliko wewe..kwamba inawezekana unaigiza ili apate wivu kumbe yeye anakuchora tu unavyopiga drama!

Fumbo lipo kwenye moyo wake, wakati mwingine mioyo ya watu wengine huwa migumu kuruhusu hisia za wivu kutoka nje.Au anakuamini kupita kiasi hivyo hana mashaka yeyote ingawa na hili gumu kutokea kwa wasichana wengi.

Nakupa tip,hebu jaribu kumchunia kumpigia simu ili utengeneze ka-distance fulani (akikupigia simu unamjibu dry kiasi) halafu uone reaction yake halafu rudi jamvini kutujuza, me nilishawahi kufanikiwa kwa hilo. Mapenzi yanahitaji vitimbi kidogo ili yanoge, Ila ukiona nae anauchuna - wafwaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
mfano naweza kumset mdada twende nae mahali alafu tunahakikisha anajua kuwa tutaenda mahali fulani hata nikirudi haulizi,haogopi wala hauliz na kuna wakati linatokea tukio baya hata mi kuingiwa na hofu mwisho wa siku hamna lolote yaani

strength of the woman
 
Usione kobe kainama, anatunga sheria!
Yawezekana anaumia sana na hivyo vituko ila anakaa nayo moyoni tu,
ila usimfanyie mambo ambayo hupendi kutendewa ipo siku itakucost akiamua kulipiza kisasi kwako!
 
Ana imani kubwa sana nawe na inaelekea anakufahamu kiundani tabia yako njema. Ndiyo maana hata akukute umekumbatiwa hatoshtuka.
Kuwa makini na watu wa aina hii. Siku utakayoteleza na kufanya kweli na mtu mwingine, akifahamu ndiyo utakuwa mwisho wa mapenzi yenu. I am also like that!
 
kumbe watu huwa tunatafuta shida.
We naye wa aina yake, kwanza wewe ni ke au me?
 
Duh, on my side am super jeoulos kinda ov gal..n i hate that, wish i was her.
 
bora umejua mapema ufanye maamuzi usije ukalaumu .TENA MSHUKURU MUNGU KWA KUJUA HILO
 
best jiangalie sana na mtu kama huyu nikiwa ninamaana hii kwamba anakupenda sana ila usimfanye achokwe au akuchoke mana ukifanya hvyo utasababisha yeye kukuchukia zaid. Na lingne usitafute sababu ili ujue yupo vp wewe cha msing muheshmu na endelea kupendana nae hujui ameyaficha mangap una ukitaka kujua upandewake wa pili upoje shaur yako haya

Nimekusikia mkuu.
 
kaka ni mawili either anakupenda sana au anakuchukulia poa.
ss hayo mambo ya kusetiana sijui kutegesheana ya nn lkn.
embu mfocus kwailo mapnzi lenu mengine baadae.
 
Una MATATIZO wewe,huyo anajiamini na anakuamini tatizo liko wapi?Wivu ni udhaifu wa kijinga sana,ili uwe na wivu ni lazima uwe hujiamini,huwezi kujiamini ukawa na wivu!
 
We unapenda/unataka mwenye WIVU? utajuta shukuru huyo, Mimi nafikiri unataka wa kukufata kwa ofisi. Ndio utajua unapendwa.
 
Ujue ana buruzwa nje mbaya kwa hiyo tabia ameizoea fanya kweli usitishie halafu ndo utaona ukweli
 
Hana shaka yoyote na wewe kwani anakuamini kwa asilimia zote. Ila siku ukivunja hiyo imani (trust) yake kwako atabadilika kuliko unavyofikiria. Mimi naona ungetumia muda huu kumuenzi kwa imani yake kwako badala ya kupanga mbinu za kumfanya asikuamini.
 
Akuonee wivu wa nini km anakuamini??
Wivu huja pale imani inapopotea kwa mwenzako,so yeye anakuamini sana thats why hana muda na mawivu yako.
Take care.
 
Back
Top Bottom