mpenzi wangu ana moyo chuma.


Jaribu na hii; siku moja njoo na kazi home halafu piga show na yeye akiwepo uone atareact vip!
 
wenzio wanatamani wampate kama huyo we unauliza maswali mengi ukiona noma tema mzigo :shock:
 
Jaribu na hii; siku moja njoo na kazi home halafu piga show na yeye akiwepo uone atareact vip!

Hilo jaribio kubwa kaka siliwezi tambua kuwa nampenda ila nakerwa na tabia yake ya kutonia wivu najiona kama sina Impact moyon mwake vile
 
kaka ni mawili either anakupenda sana au anakuchukulia poa.
ss hayo mambo ya kusetiana sijui kutegesheana ya nn lkn.
embu mfocus kwailo mapnzi lenu mengine baadae.

Hilo la kunichukulia poa ndo hilo hata mi nalihisi na ndo silipendi ila sipo na uhakika labda kuna aina ya wanawake wa namna hii.
 
Akuonee wivu wa nini km anakuamini??
Wivu huja pale imani inapopotea kwa mwenzako,so yeye anakuamini sana thats why hana muda na mawivu yako.
Take care.

Mmmm haya bwana ila asije kuwa ananiona kama box yaan hata nikipotea poa na hata nikibaki poa yaan sina effect.
 
Vitimbwi ukizidisha kwa mwanamke anakuwa sugu,mwingine hakuulizi kitu,amechoka na may be vitendo vyako.kaamua kuendelea mbele na mambo yake tu.
 
It reaches a time anakuwa tired na mambo unayomfanyia,anakuchukulia kama ulivyo tu.akili kichwan kwako,kubadilika,au kuendelea kuset vitu,ili uone reaction,one day it wil cost u.
 
Inawezekana umemsetia wadada alio wafunika.So anakucheka tu,ulivyopotea njia.
 

atakuwa kama title yako ulivyoiandika.
 
he he he aisee too much wivu matatizo,no wivu matatizo....muulize akuambie,wengine wana blunt emotions
 
anaepuka matatizo ndo maana anaamua kuwa hivyo ila si klwamba hakupendi,
 
anaepuka matatizo ndo maana anaamua kuwa hivyo ila si klwamba hakupendi,

matatizo gan hayo huoni kwamba akikaa kimya anarundika matatizo?
 
Akiwa na wivu shida, asipokuwa nao tabu, sa afanyeje jamani!mi nadhani hataki kujichoosha na kujipa stress kwa kuwa na wivu na wewe. Chukulia kawaida tu na ujue kuwa wapo wanawake wa aina hiyo including mimi ambao tunapenda kuishi maisha ya amani!
Be happy!
 

Kwa hiyo we ukiona bwana ako anakumbatiwa na mdada mwingine hauuliza wala kumuomba aache.ILA NATAKA nifanye last trial hilo akikaa kimya lazima nimbadilishe jina na kumuita "MISS MZOGA"coz harespond na external stimuli.
 
Jaribu na hii; siku moja njoo na kazi home halafu piga show na yeye akiwepo uone atareact vip!

Ndo naelekea kulijaribu hilo wazo lako aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…