mpenzi wangu anaficha mshahara wake! ushauri jamanii

Aise! Yaani Wewe ni Hawala yake harafu unataka akulishe na mshahara mgawane?
Not longer time to come unakuwa scraped.
 
ushauri wenu jamaniii
mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi kazi hata yeye analijua hilo

Tukianza relationship tulikuwa tukigawana mshahara yake nusu kwa nusu na kila kitu kilikuwa kikienda vizuri maana relationship ni kusaidiana wakati WA Shida na raha. Shida ilianza 3 months ago alipoanza kuniambia kuwa hajalipwa. Wakati mwingine anasema amelipwa nusu ya mshahara. Namwambia tugawane hiyo nusu ananipiga chenga hanipi hata senti yoyote kwa muda wa miezi yote mitatu iliyopita ,anatoa ahadi ya kunipa nachukua madeni nikitegemea pesa alafu hanipi hadi muda nina madeni makubwa nikimkumbusha anasema nisijali nashindwa kumuelewa huyu mwanamke

Wakati fulani natamani hata kwenda kumuuliza mwenye amemuajiri kama ni kweli halipwi au analeta siasa za mbowe.

Kabla sijachukua hatua nyingine niulize kweli Kuna matajiri wanalipa mshahara nusu au huyu mwanamke amepata mwanaume mwingine? Je, niendelee kukua na yeye ama? 😭 😭 apa nimechanganyikiwa mazee dah mnanishauri nini!??wana j.f
Umeamua kutuaibisha wanaume. Au unachangamsha genge weekend ikimbie?
 
Hela ya mwanamke ni yake, alikusaidia mwanzo sababu aliamini unauwezo wa kujisaidia na kujiongeza. Sasa wewe umejikalia hujiongezi mwenzako anachoka anakuona mzigo. Sio mkeo, hana wajibu wowote kwako, hamna ile kwa shida na raha akuvumilie. Ana haki kujikata ili ujiongeze, la sivyo atapata wa saizi yake
 
ushauri wenu jamaniii
mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi kazi hata yeye analijua hilo

Tukianza relationship tulikuwa tukigawana mshahara yake nusu kwa nusu na kila kitu kilikuwa kikienda vizuri maana relationship ni kusaidiana wakati WA Shida na raha. Shida ilianza 3 months ago alipoanza kuniambia kuwa hajalipwa. Wakati mwingine anasema amelipwa nusu ya mshahara. Namwambia tugawane hiyo nusu ananipiga chenga hanipi hata senti yoyote kwa muda wa miezi yote mitatu iliyopita ,anatoa ahadi ya kunipa nachukua madeni nikitegemea pesa alafu hanipi hadi muda nina madeni makubwa nikimkumbusha anasema nisijali nashindwa kumuelewa huyu mwanamke

Wakati fulani natamani hata kwenda kumuuliza mwenye amemuajiri kama ni kweli halipwi au analeta siasa za mbowe.

Kabla sijachukua hatua nyingine niulize kweli Kuna matajiri wanalipa mshahara nusu au huyu mwanamke amepata mwanaume mwingine? Je, niendelee kukua na yeye ama? 😭 😭 apa nimechanganyikiwa mazee dah mnanishauri nini!??wana j.f
Kwani kilichowaunganisha ni mshahara wake?
 
Hee so unataka doo ya mpenz wako uipigie bajeti?

Mjomba wangu unaniangusha
 
ushauri wenu jamaniii
mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi kazi hata yeye analijua hilo

Tukianza relationship tulikuwa tukigawana mshahara yake nusu kwa nusu na kila kitu kilikuwa kikienda vizuri maana relationship ni kusaidiana wakati WA Shida na raha. Shida ilianza 3 months ago alipoanza kuniambia kuwa hajalipwa. Wakati mwingine anasema amelipwa nusu ya mshahara. Namwambia tugawane hiyo nusu ananipiga chenga hanipi hata senti yoyote kwa muda wa miezi yote mitatu iliyopita ,anatoa ahadi ya kunipa nachukua madeni nikitegemea pesa alafu hanipi hadi muda nina madeni makubwa nikimkumbusha anasema nisijali nashindwa kumuelewa huyu mwanamke

Wakati fulani natamani hata kwenda kumuuliza mwenye amemuajiri kama ni kweli halipwi au analeta siasa za mbowe.

Kabla sijachukua hatua nyingine niulize kweli Kuna matajiri wanalipa mshahara nusu au huyu mwanamke amepata mwanaume mwingine? Je, niendelee kukua na yeye ama? 😭 😭 apa nimechanganyikiwa mazee dah mnanishauri nini!??wana j.f
Yawezekana kichwani mwako hakuko salama. watch out
 
Una makosa matano kwenye hii scene: Kosa la kwanza hujamuoa so katika sheria za dunia(asili) hii hata mbinguni huna haki, kosa la pili ni wewe kama jinsia ya kiume kutaka pesa ambazo hujazifanyia kazi, kosa la tatu ni kushindwa kushughulika na hilo tatizo katika mahusiano yenu badala yake unaleta malalamiko hayo kwa umma ili wakusaidie kutatua tatizo dogo kama hilo ambalo haligusi maslahi ya jamii yoyote zaidi ya wewe na mwenzio, kosa la nne na la tano malizia mwenyewe... Jifunze kukua.
Umetisha mkuu...
 
ushauri wenu jamaniii
mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi kazi hata yeye analijua hilo

Tukianza relationship tulikuwa tukigawana mshahara yake nusu kwa nusu na kila kitu kilikuwa kikienda vizuri maana relationship ni kusaidiana wakati WA Shida na raha. Shida ilianza 3 months ago alipoanza kuniambia kuwa hajalipwa. Wakati mwingine anasema amelipwa nusu ya mshahara. Namwambia tugawane hiyo nusu ananipiga chenga hanipi hata senti yoyote kwa muda wa miezi yote mitatu iliyopita ,anatoa ahadi ya kunipa nachukua madeni nikitegemea pesa alafu hanipi hadi muda nina madeni makubwa nikimkumbusha anasema nisijali nashindwa kumuelewa huyu mwanamke

Wakati fulani natamani hata kwenda kumuuliza mwenye amemuajiri kama ni kweli halipwi au analeta siasa za mbowe.

Kabla sijachukua hatua nyingine niulize kweli Kuna matajiri wanalipa mshahara nusu au huyu mwanamke amepata mwanaume mwingine? Je, niendelee kukua na yeye ama? 😭 😭 apa nimechanganyikiwa mazee dah mnanishauri nini!??wana j.f
Dah 🙅‍♀️mwanaume unalalamikia mshahara wa mwanamke hakika ccm inamaliza fikra za vijana 😂😂😂
 
One man down,i repeat one man down!!!

ova
 
Back
Top Bottom