Mpenzi wangu anajikojolea kitandani nifanyaje?

Mpenzi wangu anajikojolea kitandani nifanyaje?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Uzi mama Uzi unajieleza
Usiniletee mbambamba sijui maswali sijui picha mambo ya kitoto

Hapa FANYA Tu kumsaidia kikojozi afanyaje na anaekojolewa afanyaje?

Kama ni maombi alishaenda kama mafuta ya mwamposa alishapaka, nabii alishamwombea, mfungo alishafunga ila dada etu anajikojolea mnamsaidiaje?

Kaka yetu nae anampenda amekerekwa tu na huo mkojo, anaomba mbinu amsaidiaje?

Jaman mkojo WA MTU mzima unanuka nyie?! Hasa ukichanganyika na pombe🏃🏃🏃🏃

Alafu demu umempenda kinyama, unafanyaje?!

NYUZI ZANGU ZINGINE
1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi
2.https://www.jamiiforums.com/threads/nimekupa-kila-kitu-na-bado-umeniacha-malalamiko-ya-madada-wengi.2131338/
3. Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae
4. Je, mapenzi ni mabaya?
5. Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?
6. Alichonifanya mume wangu baada kurudi toka safarini
7. What you see is what you get!
8. Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?
9. Mpenzi wangu anajikojolea kitandani nifanyaje?
10. Happy Birthday Money Penny ~ March 8th Baby!
 
FB_IMG_16134196855456033-1.jpg
 
Uzi mama Uzi unajieleza
Usiniletee mbambamba sijui maswali sijui picha mambo ya kitoto

Hapa FANYA Tu kumsaidia kikojozi afanyaje na anaekojolewa afanyaje??

Kama NI maombi alishaenda kama mafuta ya mwamposa alishapaka, nabii alishamwombea, mfungo alishafunga ila dada etu anajikojolea mnamsaidiaje?!

Kaka yetu nae anampenda amekerekwa Tu na huo mkojo, anaomba mbinu amsaidiaje??

Jaman mkojo WA MTU mzima unanuka nyie?! Hasa ukichanganyika na pombe🏃🏃🏃🏃

Alafu demu umempenda kinyama, unafanyaje?!
Nenda maduka ya dawa za kisunni atapewa dawa na ataacha kabsa kukujoa
 
Kama ni mlevi wewe ndio wa kumsaidia aidha aache pombe au kuhakikisha kila wakati anakojoa kabla hajalala

Hakikisha pia unamuamsha saa 7 au saa 8 akakojoe
Kama unampenda lakini na kama ni story ya mtu mwingine basi awe mvulimivu

Atapokuwa na mazoea ya kuamka kila wakati usiku basi atapunguza asilimia kubwa sana na mwisho ataacha tu

Watoto huwa tunawazoesha hivyo ila kwa mswahili anapiga tu
 
Back
Top Bottom