father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
Mwanamke pekee mwenye nyuzi za ajabu ajabu JF nzimaNjoo uzitoe basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke pekee mwenye nyuzi za ajabu ajabu JF nzimaNjoo uzitoe basi
WeeeIdea ya kufungwa chura ita workout [emoji3059]
Nani?!Ndo huyo ulimpata ndotoni
DuKama ni mlevi wewe ndio wa kumsaidia aidha aache pombe au kuhakikisha kila wakati anakojoa kabla hajalala
Hakikisha pia unamuamsha saa 7 au saa 8 akakojoe
Kama unampenda lakini na kama ni story ya mtu mwingine basi awe mvulimivu
Atapokuwa na mazoea ya kuamka kila wakati usiku basi atapunguza asilimia kubwa sana na mwisho ataacha tu
Watoto huwa tunawazoesha hivyo ila kwa mswahili anapiga tu
TayarMaliza kujikojolea kwanza
Mwambie asinywe vimiminika kiasi kingi baada ya saa 10 jioni. Kama bado, basi asinywe kiminika chochote baada ya saa 10 jioni. Afanye hivyo na kufurahia usingizi mnono.Uzi mama Uzi unajieleza
Usiniletee mbambamba sijui maswali sijui picha mambo ya kitoto
Hapa FANYA Tu kumsaidia kikojozi afanyaje na anaekojolewa afanyaje?
Kama ni maombi alishaenda kama mafuta ya mwamposa alishapaka, nabii alishamwombea, mfungo alishafunga ila dada etu anajikojolea mnamsaidiaje?
Kaka yetu nae anampenda amekerekwa tu na huo mkojo, anaomba mbinu amsaidiaje?
Jaman mkojo WA MTU mzima unanuka nyie?! Hasa ukichanganyika na pombe[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Alafu demu umempenda kinyama, unafanyaje?!
🤣🤣Mshauri akiona choo ndotoni asikitumie[emoji4]
Uzi mama Uzi unajieleza
Usiniletee mbambamba sijui maswali sijui picha mambo ya kitoto
Hapa FANYA Tu kumsaidia kikojozi afanyaje na anaekojolewa afanyaje?
Kama ni maombi alishaenda kama mafuta ya mwamposa alishapaka, nabii alishamwombea, mfungo alishafunga ila dada etu anajikojolea mnamsaidiaje?
Kaka yetu nae anampenda amekerekwa tu na huo mkojo, anaomba mbinu amsaidiaje?
Jaman mkojo WA MTU mzima unanuka nyie?! Hasa ukichanganyika na pombe🏃🏃🏃🏃
Alafu demu umempenda kinyama, unafanyaje?!
Fistula no tofauti na hilo . Kwani Fistula anatokwa haja ndogo hata mchana lakin huyo ni kikojozi usiku kitandani.Fistula hiyo ndugu yangu, inatibika kabisa nenda hospitali, mirija au njia ya mkojo zimeshalegea
Jesus, 😱Habari!
Ili kupata usaidizi wa hali hii, ni mambo mengi yanatakiwa kufatiliwa juu ya mhusika.
Tatizo hili laweza kuwa la kimaumbile, kurithi, kisaikolojia, kimfumo au tabia.
Hivyo kuna mambo mengi yatahitajika:
1: Kama alishawahi kuweza kuzuia mkojo hapo kabla/kulala bila kukojoa kitandani au tangu azaliwe anakohoa kitandani.
2: Hali hii kama inatokea na mchana au usiku tu.
3: Historia yoyote ya kutendwa kimaumbile au kisaikolojia.
4: Kama alishawahi kupata ajali yoyote.
5: Historia ya wazazi pamoja na nduguze kuhusiana na shida husika.
6: Kujifunza juu ya uwezo wake wa kupata usingizi na kuzinduka.
7: Kuelewa ukubwa/size ya kibofu chake cha mkojo kulingana na umri.
8: Mwenendo wa upataji wake wa haja kubwa.
9: Kuondoa wasiwasi wa vitu/magonjwa mengine kama: Sukari vs UTI vs ADH(utoaji vs ufanyaji kazi).
10: Matumizi mengine ya dawa ambazo huweza kuleta athari chanya kwenye utoaji mkojo.
11: Matumizi ya vinywaji ambavyo huweza kuwa na athari chanya kwenye utoaji mkojo.
12: Kufahamu BMI ya mgonjwa kama inaendana na urefu wake.
NB: Hivyo, suala hili ni mtambuka linahitaji kuhusisha nyanja tofauti za wataalamu wa afya. La sivyo, itakuwa ni kubahatisha ambayo huweza kuleta hali ya kuona unashindwa kupata suluhisho.
Suluhisho litaambaatana na kusahihisha linalopatikana au yanayopatikana kama chanzo husika.
SauwaMwambie asinywe vimiminika kiasi kingi baada ya saa 10 jioni. Kama bado, basi asinywe kiminika chochote baada ya saa 10 jioni. Afanye hivyo na kufurahia usingizi mnono.
Kumbuka, sijasema asile chakula.
MmmhFistula no tofauti na hilo . Kwani Fistula anatokwa haja ndogo hata mchana lakin huyo ni kikojozi usiku kitandani.
Nakuomba ndugu ukuje pm tafadhali Dada atapona hakika
Jamaan🏃🏃🏃Mvalishe pampas
Njoo kologea sukalichai
Acha utotoTafuta chura halafu mfunge kwenye ndululu yake...
Acha utoto
aisee!Itakuwa hujaishi ushagoo wewe...
Sisi wa miaka hiyo enzi za mwalimu, mtoto akizidisha ukojozi alikuwa anafungwa chura kiunoni, anakimbizwa mtaani huku akisindikizwa na nyimbo za kebehi kama huu, "kindumbwe ndumbwe chalia, kindumbwe ndumbwe chalia, kikojozi na nguo kaitia moto na ndani kuna viroboto, hilooo". Hapo mtoto kabebeshwa jamvi, nguo, mashuka au godoro alilolikojolea...
duHabari!