Mpenzi wangu anakosa ute wakati wa tendo ushauri wako tafadhali

Mkuu kwa uwelewa wangu hilo tatizo linatibika na utafurah fanya yafuatayo

Chukua bamia 3 au 4 zikate juu na chini (kichwa na mkia). Ziloweke kwenye maji kwa masaa yasopungua 11

Baada ya hapo mnyweshe kikombe kimoja cha hayo maji

Asa kwa kua ni dose ya asubuh na jion na mchanganyiko unahitaj mda mrefu inabid uchanganye hayo maji na bamia jioni kwa ajili ya kutumia asubuh na uloweke ingine asubuh kwa ajili ya jioni

Na hakika utaleta mrejesho mzuri
 
Ya kweli haya jamaniiiii
 
Ulaji wa pilipili kwa wingi hupunguza au kukausha Ute ute ukeni
 
Mkuu kwa uwelewa wangu hilo tatizo linatibika na utafurah fanya yafuatayo

Chukua bamia 3 au 4 zikate juu na chini (kichwa na mkia). Ziloweke kwenye maji kwa masaa yasopungua 11

Baada ya hapo mnyweshe kikombe kimoja cha hayo maji

Asa kwa kua ni dose ya asubuh na jion na mchanganyiko unahitaj mda mrefu inabid uchanganye hayo maji na bamia jioni kwa ajili ya kutumia asubuh na uloweke ingine asubuh kwa ajili ya jioni

Na hakika utaleta mrejesho mzuri
Shukrani mkuu ntamwambia afanye hivyo tuone
 
Hii mbinu nlitumia kwa demu wangu flani ye hanaga ham ya mapenz anaeza kaa bila kufanya hata miez mitatu, mpaka nimuombe nikaona sio issue alipata kagonjwa uchwara nikamwambia dawa ni huo mchanganyiko

Kesho alfajir kaja gheto kuomba mechi

Wanaume mungu atusamehe nilijua atafikia hapo hivo nilipanga nisifanye nae ili aone matatizo nilopata nlipokua na ham nae

Baada ya kuanza kulialia ilibid nimuhurumie na kumpa pens matata
 
Hahahaha Safi sana mkuu ila bamia mbichi ataziweza kweli? Huchanganyi na chochote?
 
Watu wengine wana ushauri wa kishetani daaah, ngoja mimi nisome comment tu
 
Mkuu mbona simpo

Mshikie panga

Hesabu mpka tatu uku unamuuliza unatoa ute utoi

Utashangaa mwenyew lita za kutosha

Ujee na mrejesho...
 
Back
Top Bottom