Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 358
Ya kweli haya jamaniiiiiMkuu kwa uwelewa wangu hilo tatizo linatibika na utafurah fanya yafuatayo
Chukua bamia 3 au 4 zikate juu na chini (kichwa na mkia). Ziloweke kwenye maji kwa masaa yasopungua 11
Baada ya hapo mnyweshe kikombe kimoja cha hayo maji
Asa kwa kua ni dose ya asubuh na jion na mchanganyiko unahitaj mda mrefu inabid uchanganye hayo maji na bamia jioni kwa ajili ya kutumia asubuh na uloweke ingine asubuh kwa ajili ya jioni
Na hakika utaleta mrejesho mzuri
Ya kweli unaliza, unashangaa au unahitaj nyamanyama za maelezoYa kweli haya jamaniiiii
Nyamanyama za maelezoooYa kweli unaliza, unashangaa au unahitaj nyamanyama za maelezo
Hizo njoo pm mkuu maana kuandika kazNyamanyama za maelezooo
Shukrani mkuu ntamwambia afanye hivyo tuoneMkuu kwa uwelewa wangu hilo tatizo linatibika na utafurah fanya yafuatayo
Chukua bamia 3 au 4 zikate juu na chini (kichwa na mkia). Ziloweke kwenye maji kwa masaa yasopungua 11
Baada ya hapo mnyweshe kikombe kimoja cha hayo maji
Asa kwa kua ni dose ya asubuh na jion na mchanganyiko unahitaj mda mrefu inabid uchanganye hayo maji na bamia jioni kwa ajili ya kutumia asubuh na uloweke ingine asubuh kwa ajili ya jioni
Na hakika utaleta mrejesho mzuri
Haitachukua hata wiki boss ila jitahid kua karibu nae sababu anaweza zidiwa na ham ya mapenzShukrani mkuu ntamwambia afanye hivyo tuone
With due respect, Wewe ni mchaga?Vyakula vinaweza kuwa sababu,msongo wa mawazo, mazoea nk.
Mie hali hiyo hunipata kama sina pesa au nimekuchoka.
Hii mbinu nlitumia kwa demu wangu flani ye hanaga ham ya mapenz anaeza kaa bila kufanya hata miez mitatu, mpaka nimuombe nikaona sio issue alipata kagonjwa uchwara nikamwambia dawa ni huo mchanganyikoShukrani mkuu ntamwambia afanye hivyo tuone
Hahahaha Safi sana mkuu ila bamia mbichi ataziweza kweli? Huchanganyi na chochote?Hii mbinu nlitumia kwa demu wangu flani ye hanaga ham ya mapenz anaeza kaa bila kufanya hata miez mitatu, mpaka nimuombe nikaona sio issue alipata kagonjwa uchwara nikamwambia dawa ni huo mchanganyiko
Kesho alfajir kaja gheto kuomba mechi
Wanaume mungu atusamehe nilijua atafikia hapo hivo nilipanga nisifanye nae ili aone matatizo nilopata nlipokua na ham nae
Baada ya kuanza kulialia ilibid nimuhurumie na kumpa pens matata
Hauchanganyi kuhusu kuweza mtajuana wenyeweHahahaha Safi sana mkuu ila bamia mbichi ataziweza kweli? Huchanganyi na chochote?