Mpenzi wangu anakosa ute wakati wa tendo ushauri wako tafadhali

Inasadikika hata njia za uzazi wa mpango zinaweza kusababisha hali hiyo. But sina uhakika
 
Yawezekana lakini nimemuuliza labda kanizoea mpaka mzuka umeisha ila amekataa katakata
Unategemea atakupa jibu la kweli kwamba amekuchoka? Kiukweli hana mzuka, ute unategemeana na mzuka alionao baada ya maandalizi, nakushauri kubaliana na hali kisha tumia KY.
 
hana mzuka, kwa sababu mtu Huyo Huyo anaweza kuongea na mtu kwenye simu au aka chat kwa SMS...na aka 'wet' vibaya.
 
kuna dem 1 nlkuw nikit.omb.a goli 1 yanayofuata mtt anakauks mpk bas,,,,unamuanda unaweka kidogo..dry..weka mate nin..mpk mwanamke akaw anajistukia kwa kuona labd ananiboa...bt nikachukulia changamot...somtmz take lile wese la kule ili kuteleze..kuz michubuko ni tatzo.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kuwa wakati mnaanza mahusiano ulikuwa unamjali sana na tuzawadi twingi plus kumtoa toa pesa baada ya hapo hizo huduma ukaanza kuzipunguza?

Maana hawa viumbe ukipunguza kuwapa vile vitu wanavyovipenda nyege nawe zinakuwaga zinawaishia wakikuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…