Mpenzi wangu anakosa ute wakati wa tendo ushauri wako tafadhali

Si mchezo
 
Ale nyanya chungu na ndizi hasa zile zinazotokea bukoba
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kama kanda zipi ni semi arid
Ukanda wa kasikazini kitu "mtera" ni adimu sana, japo makadirio yanaweza kuwa na mabadiko kidogo (kama wanavyosemaga jamaa zetu wa hali ya hewa)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio kwa sababu yakula ndizi kwa wingi labda ndo sababu aisee
 
Ukanda wa kasikazini kitu "mtera" ni adimu sana, japo makadirio yanaweza kuwa na mabadiko kidogo (kama wanavyosemaga jamaa zetu wa hali ya hewa)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na yeye ni kaskazini boss
 
Hakuna jinsi Mkuu ni kutumia KY au kuongeza uwezekano wa michubuko na labda yeye kutofurahia/kutoenjoy mgegedo

Duuuuu sitaki kutumia vilainishi bandia boss
 
Hakuna jinsi Mkuu ni kutumia KY au kuongeza uwezekano wa michubuko na labda yeye kutofurahia/kutoenjoy mgegedo
Mgegedo huwa hainjoi kabisa toka aanze kukosa ute
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…