Mpenzi wangu analalamika kuungua kila nifikapo kileleni

Mpenzi wangu analalamika kuungua kila nifikapo kileleni

Wakuchanja

Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
82
Reaction score
54
Habarini wana JF,

Kichwa cha uzi kinajieleza,

Mimi nina mpenzi wangu tunapendana sana ila anatatizo moja tu tukishaanza kufanya mapenzi nikikaribia kojoa analalamika anaungua na anachomoa gafla na ni mara chache sana huwa nafika mwisho kutokana na staili.

Msaada wakuu
 
Kuna yeyote ameoa au kuolewa kati yenu?
Hamumsaliti mtu?

Muulize mpenzi wako kama ana mzio wa aina yoyote.
 
Anaungua na nini? Au ina mto hiyo kila ukichegeja ndio kama unapekecha moto uwake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habarini wana jf,

Kichwa cha uzi kinajieleza mimi nina mpenz wangu tunapendana sana ila anatatizo moja tu tukisha anza kugegeduana nikikalibia kojoa analala mika anaungua na anachomoa gafla na ni mara chache sana huwa nafika mwisho kutokana na staili.

Msaada wakuu
Mmefunga ndoa?

Ilo tendo ni kwa wanandoa tu
 
Mwongo huyo ameshakusoma, haungui ila anaogopa mimba tu ndo maana ukikaribia kupizi anakuchomolea nje? alafu hata hivyo wewe mvimilivu sana kwangu mimi kukata bao lisiingie ni kosa kubwa sana na angeshaachwa cku nyingi sana.
 
Back
Top Bottom