Mpenzi wangu analalamika kuungua kila nifikapo kileleni

Mpenzi wangu analalamika kuungua kila nifikapo kileleni

Tatizo la kufika kileleni linatibika kirahisi xana panda gari la moshi inategemea na sehemu ilipo den shuka moshi mjini mkoan Kilimanjaro ukifika moshi mjini ulizia magari ya marangu den ukifika marangu utakuta kuna vituo vingi vya kwenda kileleni inategemea ww unaenda kituo gani kibo au mawezi ongea na jamaa vizuri watakusaidia kufika kilele unachotaka raha mstarehe na hapo utakuwa umefika kilele kurahisi zaidi na tatizo litakuwa limetibika au sio wadau
 
Habarini wana JF,

Kichwa cha uzi kinajieleza,

Mimi nina mpenzi wangu tunapendana sana ila anatatizo moja tu tukishaanza kufanya mapenzi nikikaribia kojoa analalamika anaungua na anachomoa gafla na ni mara chache sana huwa nafika mwisho kutokana na staili.

Msaada wakuu
Utakuwa unakojoa volcano Mkuu.
 
Back
Top Bottom