Wakuchanja
Member
- Oct 12, 2017
- 82
- 54
Tulisha enda hospital hana tatizo lolote mkuuDemu wako kwani ana matatizo yoyote labda??
Hamna mkuu tuko sisiKuna yeyote ameoa au kuolewa kati yenu?
Hamumsaliti mtu?
Muulize mpenzi wako kama ana mzio wa aina yoyote.
Hapana mkuu mbona michepuko hailalamiki au yeye ndio msema ukweliLabda unatoaga cheche za moto ukikaribia kukojoa
Mmefunga ndoa?Habarini wana jf,
Kichwa cha uzi kinajieleza mimi nina mpenz wangu tunapendana sana ila anatatizo moja tu tukisha anza kugegeduana nikikalibia kojoa analala mika anaungua na anachomoa gafla na ni mara chache sana huwa nafika mwisho kutokana na staili.
Msaada wakuu
Tunajiandaa kufunga mkuu maana tuna uchumba suguMmefunga ndoa?
Ilo tendo ni kwa wanandoa tu
Ngoja nifanye uchunguz mkuuLabda ataki mimba
Wazungu wakitaka kumwagika wanakuja na motoAnaungua na nini? Au ina mto hiyo kila ukichegeja ndio kama unapekecha moto uwake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahhahaha utani huo mkuuLabda unatoaga cheche za moto ukikaribia kukojoa
Basi muache kufanya mpaka mtakapo funga ndoaTunajiandaa kufunga mkuu maana tuna uchumba sugu
Kama nimekumiss vile..!hahahhahaha utani huo mkuu
au anajifanyisha?Tulisha enda hospital hana tatizo lolote mkuu