Mpenzi wangu analalamika kuungua kila nifikapo kileleni

[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️byee
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
 
Tatizo la kufika kileleni linatibika kirahisi xana panda gari la moshi inategemea na sehemu ilipo den shuka moshi mjini mkoan Kilimanjaro ukifika moshi mjini ulizia magari ya marangu den ukifika marangu utakuta kuna vituo vingi vya kwenda kileleni inategemea ww unaenda kituo gani kibo au mawezi ongea na jamaa vizuri watakusaidia kufika kilele unachotaka raha mstarehe na hapo utakuwa umefika kilele kurahisi zaidi na tatizo litakuwa limetibika au sio wadau
 
Utakuwa unakojoa volcano Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…