Kabilimya Member Joined May 25, 2017 Posts 73 Reaction score 24 Aug 4, 2017 #1 Wana jamvi, ma professional naomba msaada wenu....kama kichwa kinavyojieleza . Zipo dalili kama homa ,mchoko,kutapika, tumbo kuuma, na vingine vingi. Naomba msaada wenu wadau, Natanguliza shukrani
Wana jamvi, ma professional naomba msaada wenu....kama kichwa kinavyojieleza . Zipo dalili kama homa ,mchoko,kutapika, tumbo kuuma, na vingine vingi. Naomba msaada wenu wadau, Natanguliza shukrani
G gwahula New Member Joined Jul 8, 2017 Posts 4 Reaction score 0 Aug 4, 2017 #2 Namimi hilo tatizo ninalo Mke wangu amenasa ujauzito napata taabu sana Sent using Jamii Forums mobile app
Namimi hilo tatizo ninalo Mke wangu amenasa ujauzito napata taabu sana Sent using Jamii Forums mobile app