Mpenzi wangu anamimba, je kunauwezekano wa yeye dalili anazozipata kunipata na mimi?

Mpenzi wangu anamimba, je kunauwezekano wa yeye dalili anazozipata kunipata na mimi?

Kabilimya

Member
Joined
May 25, 2017
Posts
73
Reaction score
24
Wana jamvi, ma professional naomba msaada wenu....kama kichwa kinavyojieleza .
Zipo dalili kama homa ,mchoko,kutapika, tumbo kuuma, na vingine vingi.

Naomba msaada wenu wadau,

Natanguliza shukrani

download.jpg
 
Back
Top Bottom