Nimekumbuka zamani nilivyokuwa mdogo mama aliniagiza sehemu kununua vitumbua kwa ajili ya chai, sasa nilivyofika pale nikakuta kina mama wa mtaani na wao wapo pale wanapiga story huku wakisubiria vitumbua.
Sasa kidogo wakahama story wakaanza kumuongelea mzee mmoja hivi alikuwa ni fundi umeme anaitwa Mzee Maksudi Ngwita (Real name kama kuna mtu wa Ilala hapa atamjua)
Huyo mzee alikuwa ana sura mbaya, mweusi tii na midevu mingi ila wanawake walikuwa wanamgombania sana hadi wake za watu.
Sasa kuna mama mmoja akawa anasema mie yule na midevu yake nimpeleke wapi. Mmama mwingine akamjibu hivii nanukuu "WEE MAMA FULANI (jina la mwanae limenitoka) YULE MZEE MAKSUDI ACHA TU TUMGOMBANIE MAANA ANANYONYA UCHI SI MCHEZO"
Sasa wewe remba kina
Mzee wa kupambania ,
mzabzab na
National Anthem wakusaidie kazi.