@ Konakali, 1-anachojua ni kwamba nilikuwa na 1st boyfriend nimeachana nae, hajui history ya huyo jamaa
2- nilishawahi kumwambia na anasema inatosha, yeye anajiskia uchovu
3.. Yeye ni Community worker- mara nyingi anakuwa field
4- Yap, romance nyingi tu, kuanzia oral mpaka, mwili mzima na viungo vyake
5- Always ni kukumbatiana, miguu yake na mikono yake lazima ikunjane kwangu
6- Chakula ni mchanganyiko kwa kweli, sato, kuku, viazi,mbogamboga ugali wali, yaani vyakula vyote na anachagua yeye kwa gharama yoyote ile, kwenye masuala ya msosi ni first kabisa, choice murua,
7- Walk- atleast 3 times per week
8- kwa maelezo yake mimi ni wa pili
9- si mtu wa mawazo sana, coz akishamaliza saa za kazi, mambo ya kiofisi yameisha, masuala ya maisha tunakuwa tunajadili wote, na mipango yote inakuwa kwenye mstari