Mpenzi wangu ananipa dozz ndogo

 

Mbona hamna pweza apo?
 
Usiogope sn, mafanikio ni makubwa ila hofu yako ni kwasababu unasikia wengine wanagalagazwa mpaka wanakimbia chumba na wewe ungependa kuuona huo mtanange, chamsingi jaribu kupa kahawa wakati wa jioni kama kiburudisho hasa kavu, na pia mpe na uji wa ulezi, pia mwambie awe anakusubiri akisikia kupiga kabao basi atulie au a hang on a sec, ukisha pokea basi aendelee, kama akiweza akungoje tena mpaka ki jamaa kikisema naona jota basi aweza tulia lkn kila anaposikia kukuacha mwambie asimame kidogo au ateme kidogo aanze upya naamini atakufikisha pale unapotaka, JF shule.
 
Happiness is when what you think, what you say, and what you do are in harmony.
 

Dada jiangalie labda ladha ya kitumbua chako hajaifurahia jaribu kuongeza mahanjumati na siku nyingine mwende nje ya nyumbani pia.
 
sasa nimeamini watu wanapata relationship humu JF,maana hizi coment sishangai baada ya siku chache mtu anakuja na thread kuwa ooh avatar/ coment ya fulani eti inanichanganya na kulegee kila ninapoiona/kuisoma...
pole mwaya wee, mimi na mwenzangu tunapeana ngoma droo! Kama ni 3-3 kwa wakati mmoja kila siku!
 
Hivi wiki ina siku ngapi afrodenzi...in case umesahau manake naona kampeni zimekuchanganya kabisa....lol

Kaizer weki ina siku saba...
lakini ye anafanya mara 3 mpaka 4 kwa wiki...
na kama wiki ina siku 7 unaweza kufanya hizi nne ndani ya siku 2...
na hizo zilizobakia je???
 
kwanza hebu jiweke mbali kuongelea mambo ya chumbani kwa mashoga zako hiyo ni hatari sana sana pengine hayo unayoambiwa kuwa mashoga zako wapewa magori 3-4 inawezekana ni umbea tu wakubadilishe mawazo utoke nje. pia kama mumewe akikupiga kimonya na wewe unakojoa na kulizika sasa tabu ya nini bibie?. pia hebu angalia vyakula anavyokula huyo mumeo ni muhimu kujua kuna vyakura si vizuri kwa mwanaume ndo mana wanaume wengii siku hizi nguvu za kiume ni kidogo kutokana na vyakula wanavyo kula jitaidi kumpikia vyakula vya alisili mfano uji wa ulenzi uliochanganywa na maharage,mchele,karanga etc na atumie asali mbichi baada ya sukari,. pia mazoezi yanasaidia kumfanya mwanaume kuwa na nguvu zaidi za kiume kwa sababu damu inakuwa inazunguka kama inavyotakiwa mana msukumo wa damu unakuwa mkubwa.
 

...Obese? ...au shibe ndogo? ...mshawishi aanze mazoezi ya mwili ajenge stamina.
Otherwise, effective communication baina yenu wawili itamjengea uelewa kwamba
"demand is greater than supply."
 
hahahaha hizo salooni zenu izo....haya bana mwambie jamaa aache uvivu uwafurahishe mashosti zako...
isnt nt abt mashost is abt her
kimey jaman kimoja daily inahuu?
anatumia dawa nzito ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…