Mpenzi wangu ananipa romance nzuri ila hataki kunipa penzi

Jino kwa jino mkuu, nawewe mpatie romance tu mnyime penzi
 
Huyo demu hakutati mkuu,, inaonesha ana mtu mwingine anamgegeda kwako wewe anakupa romance ili akufariji ujione unapendwa..
 
Kwa vile ameamua kukutuzia hyo B, mwambie akupe 0713.
 
Tatizo vijana wa siku hizi mmezaliwa kizazi cha instra na smartphone hamna mbinu za medali,hakika jando lilitusaidia sana sisi wakongwe,utaingiaje lodge na binti,umvue nguo kisha ushindwe kumla!!aibu sana hiyo
 
sasa mkuu ulichokosea hapa ni kitu kimoja kwa kuwa umekuja huku kuomba ushauri fanya kitu kimoja cha mhimu sana.

Weka picha na namba yake hapa sasa hivi tumshauri yeye, siku nyingine mkienda utaleta mrejesho mubashara kabisa.
 
Subiri tuu mkuu, wanasemaga mwisho wa Siku lazima jini litoke kwenye chupa
 
You are not a gentleman. Never kiss and tell.
Mwanume haongei mambo kama haya kwenye mkadamnasi. Malizaneni huku chumbani nyie wawili.
Reasons za kunyimwa:
1. Ameona wewe ni m’mbea. Jifunze kuheshimu hawa viumbe wazuri.
2. Gentleman haombi anapewa kwa kulazimizwa.
 
ndo maana nata kuhama dar!!yani una tudhalilisha kabisa ...kama wanaume wote wangekuwa kama wewe ,wanawake wangekufa na utamu wao!!
 
Jaribu kumshitaki polisi au kwa mwenyekiti wake wa mtaa! Atatoa tuu hahaaa
 
Huo sio uandishi wa mwanaume maana umeandika taarabu tupu.
Ungekuwa mwanangu ningevunja kidole kimoja kuwa sina mtoto. Eti romance naked lisaa! Ati niliingiza kichwa tu! Angalia wanawake wanakuwaga na kidonda katikati ya mapaja na hakiponagi usikiguse.
 
Hivi watu kama nyinyi ndio huwa mnaitwa wapenzi watazamaji
Upo vizur mpenz mtazamaji, endelea kumpeleka lodge bila kugegeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…