Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Na nina dakika 1000 sijui nimpigie naniWeka namba yake hapa ili wenye muda wa kuongea naye wafanye hivyo. Hii itakuondolea usumbufu mkubwa sana.
Na nina dakika 1000 sijui nimpigie nani
Daaah anatafutwa anazingua loohVumilia, penzi jipya hilo....
Wakati penzi likichakaa atakua ye ndio anatuma mimeseji nakupenda mamy nakupenda sana i miss you anajibiwa "k"Daaah anatafutwa anazingua looh
[emoji23][emoji23][emoji23]We huna hela wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka namba yake hapa ili wenye muda wa kuongea naye wafanye hivyo. Hii itakuondolea usumbufu mkubwa sana.
Kama ulikuwepo hizo K nimejibiwa sanaWakati penzi likichakaa atakua ye ndio anatuma mimeseji nakupenda mamy nakupenda sana i miss you anajibiwa "k"
Aache wenge ajifaidie penzi jipya