Mpenzi wangu ananisumbua kila wakati. Nifanyaje?

Mkuu naona unamchana mwamba
 
Unakuta mtu anataka muongee usiku kucha aseeeh.
Nakuelewa.
Mapenzi ni mawasiliano sawa, lakini sio kugandana kama Luba hivyo.
Hatuna vitu vingine vya kufanya?

Tuwe na space ya kumisiana.
Tuwe na wakati wa kufanya mengine.
Tuwe na vitu vingine vya kufanya while tunapendana.
 
Hahahahah kumbe unaijua michezo yako eeh baada ya kupata bwana mpya ndio mnavyotufanyiaga wakulungwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakipata ma bwana wapya wanatugeuza wafungwa. Mpaka siku wakiwa kwenye mood nzuri ndo wanatoa unblock [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Teh uchimi umemaanisha uchumi sio? Kama ni miss independent umekwisha labda kama awe anakupenda sana yani ni I can't live without you
Hv wapogo hao wa I can't live without you...
 
Ila mapenzi matamu sana response ya mwenzako ikiwa same. Mtu kama humpendi lazima uone kero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…