Mpenzi wangu ananisumbua kila wakati. Nifanyaje?

Kwanini umechagua kumuharibia future binti mdogo hivo?
Nimejikuta njia panda kabisa, huyu binti nampenda sana tena sana tu na huwezi amini nilimkuta bikra kabisa . Mke wangu nae nampenda sana tena sana, yaani nimeamini kumbe moyo unaweza kupenda mara mbili.

Sina plan za kumtelekeza kwa namna yoyote ile, ila nawaza tu mke wangu ataipokeaje hii taarifa maana ana wivu sana.Nawaza ikitokea situation ya kuchagua mmoja kati yao itakuwa ni mbaya sana kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni "dini inaruhusu"?
 
Haha wanaume tunapitia mengiii...!
 
Hivi kumchana mtu maukweli watu wanaona jau ama veepee? Mkuu hilo jambo we kama mwanaume unamwambia bwana eeh..mimi napenda hivi hivi na hivi basi. Mbona ishu ndogo sana au unaogopa atasepa jumla jumla
Kama akipita hivi bas hakuwa wa kwako sema saivi watu wanapenda kero sana. Amua bwana akili kumkichwa Man up niggah
Kuna binadam wengine Ni wagum kuelewa aisee mtu anajua ratiba zako uamkapo Asubuhi Ni mchakamchaka afu anakupigia mchana anataka muongee nusu saa na mnachoongea hamna Cha maana ...! Msg kila saa usipo jibu anaona kama unampotezea usiku anataka muongee lisaa ***** mtu umechoka upo hoi . Mahusiano ya hvi nakimbia ndani ya wiki
 
Haha wanaume tunapitia mengiii...!
Kabisa mkuu,yani stress nilizo nazo hapa ndomaana tunakufa mapema.Kuna muda nilikuwa na wife tunapiga story sebuleni mkao tuliokaa na menenao anayozungumza unaona kabisa huyu mwanamke ananipenda,yani hapo ndo natamani kuchanganyikiwa kabisa nikifikiria akijua ataumiaje?

Anajaribu kunichekesha ila akili haipo kabisa.
 
Hapana mkuu, na hicho ndo kinanimaliza nguvu Lila nikifikiria.
Jiandae, yajayo hayafurahishi....

Kwahiyo umejiandaa kupata mtoto? Hali ya mkeo financially ikoje (sometimes kama mwanamke hana kipato kiwango cha uvumilivu huwa kipo juu kidogo)

Kama anakipato anajiweza ndoa inaweza kuishia hapo au kama itaendendelea maisha hayatakuwa kama zamani inabaki "for the sake of the kids"
 
Kuhusu kupata mtoto niko tayari kabisa,wala hilo sio swala la kuniumiza kichwa.Shida ni mapenzi ya mke wangu kwangu mimi,ni mwanamke dukani hivi innocent sana nawaza tu hatokaa awe na imai na mimi tena.

Hapo kwenye kiwango chake cha uchimi ndo pachungu sasa.
 
Teh uchimi umemaanisha uchumi sio? Kama ni miss independent umekwisha labda kama awe anakupenda sana yani ni I can't live without you
 
Back
Top Bottom