Mpenzi wangu anapenda ngono sana, nashindwa kumhimili

kujua afya yake muhmu mkuu
 
Labda kazi kweli zitasaidia ila sio stress....

stress huwa ni kama energy drink yani ukifanya mapenzi huku una stress unakua na nguvu mara dufu hata kuchoka hakupo utajua kesho yake kuwa ulichoka baada ya kupata maumivu ya miguu, mgongo na kiuno
Na shavu dodo hazipati maumivu kwa misukosuko ya vigegedeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…