Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Ajigawe si Alidhani anayawezaWahuniiiiiii
Nimewaita mje
Mwenzenu ameyainua matanga, akatafuta kimada nje ya ndoa
Kimada ni mtoto wa 2000, basi kila saa anataka attention, anamkausha baba wa watu huku
Baba anataka msaada afanyaje?
View attachment 3139928
Mwache atajua mwenyewe
KagomaAtulie
Mbona mwenye simu anaonekana mbahili?Apunguze kumpa pesa.....
Wanaume nyie, basi tuAjigawe si Alidhani anayaweza
Mlete tumpige mtungoWahuniiiiiii
Nimewaita mje
Mwenzenu ameyainua matanga, akatafuta kimada nje ya ndoa
Kimada ni mtoto wa 2000, basi kila saa anataka attention, anamkausha baba wa watu huku
Baba anataka msaada afanyaje?
View attachment 3139928
Mtungo ndio nini?Mlete tumpige mtungo