Mpenzi wangu anaumia saana tunapo "do"

Mpenzi wangu anaumia saana tunapo "do"

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Jamani ukiona m2 mzima analia mbele za watu ujue kuna jambo.... Jambo lenyewe ni hiilii..

Nina mahusiano na GF wangu ni miaka mi nne sasa... mwanzoni nilipoanza naye tulikua twafurahia sana ku "do".... maajaabu ni kwamba kuanzia mwishoni mwaka jana analalamika anapata maumivu makali kiasi kwamba wakat mwingine nadhani anafanya makusudi....au amenichoka...huwa nakasirika...

Namuandaa vizuri mnoooo.... mpaka napo hakikisha maji maji yamejongea nae ananiruhusu.....nianze... maajabu nnapo ingiza kichwa golini....anapoteza hamu yoote na wakati mwingine hujaribu kunisukuma na mikono yake...

Sasa jamani amenichookaaaaa..... au ana tatizo lingine na kwa nini lianze lately...

Wadada help me...
 
Nendeni mkawaone madaktari maana hii si hali ya kawaida kwa mtu aliyekuwa anafurahia tendo hilo na sasa imekuwa ni adha kubwa kwake.
 
Nendeni mkamuone daktari wa kina mama
 
Nendeni kwa wazazi mkaombe radhi,na wakiridhia wakupeni baraka mfunge ndoa huenda ni mizimu ya kwao inachukia matendo yenu,na hiyo miaka mitatu ilikua inakusomeni tu!
 
wakati mwingine maji yanakuwa kwa juu juu tu lakini kwa ndani kunakuwa kukavu,hakikisha analegea mpaka analilia mboo ndio uingie bwana mara nyingine huwa mnapapara sana
 
Mwambie akaangaliwe afanyiwe ultrasound inaweza ikawa anauvimbe wa aina yoyote au ana fibroids maana madada wengi nimesikia hii inasumbua.
 
Nendeni kwa wazazi mkaombe radhi,na wakiridhia wakupeni baraka mfunge ndoa huenda ni mizimu ya kwao inachukia matendo yenu,na hiyo miaka mitatu ilikua inakusomeni tu!
haaaah haaah lol ww balaa!
 
Jamani ukiona m2 mzima analia mbele za watu ujue kuna jambo.... Jambo lenyewe ni hiilii..

Nina mahusiano na GF wangu ni miaka mi nne sasa... mwanzoni nilipoanza naye tulikua twafurahia sana ku "do".... maajaabu ni kwamba kuanzia mwishoni mwaka jana analalamika anapata maumivu makali kiasi kwamba wakat mwingine nadhani anafanya makusudi....au amenichoka...huwa nakasirika...

Namuandaa vizuri mnoooo.... mpaka napo hakikisha maji maji yamejongea nae ananiruhusu.....nianze... maajabu nnapo ingiza kichwa golini....anapoteza hamu yoote na wakati mwingine hujaribu kunisukuma na mikono yake...

Sasa jamani amenichookaaaaa..... au ana tatizo lingine na kwa nini lianze lately...

Wadada help me...

Mwaka wa nne huwa ni mgumu sana kwenye mahusiano. Mkivuka salama basi mbarikiwe.
 
wakati mwingine maji yanakuwa kwa juu juu tu lakini kwa ndani kunakuwa kukavu,hakikisha analegea mpaka analilia mboo ndio uingie bwana mara nyingine huwa mnapapara sana

mmmhhh... au nitumie lubricants?
 
Samahani ndugu zangu,wakati mwingine kama tukio halijakukuta unaweza kuchukulia poa.Mimi mwenyewe mpenzi wangu (GF) anaumia sana kama alivyosema mtoa mada.Kwa kifupi nimejitahidi sana kufanya kila niwezalo,lakini siku zinavyosonga ndivyo ambavyo anazidi kuumia zaidi.Katika utafiti wangu nimegundua kuwa wanawake wengi wanavamia na Human Papilloma Virus ambavyo kwa kiasi kikubwa inaharibu utaratibu wa vagina.Anyway mie sio mtalaam wa mambo ya akina mama,lakini kwa kuwa nami mchumba wangu anatatizo hilo,najitahidi kutafuta ufumbuzi,na nitawasilisha kwenu wadau,lakini kama kuna mtu anajua jinsi ya kutatua tatizo hilo,tunaomba msaada wenu.
 
Mpeleke kwa dackari bingwa wa wanawake haweze kumsaidie
 
Ok before hujaenda kwa Dr, jaribu hivi, mchezee sana kama unavyo mchezea siku zote , awe ameloa, halafu chukau KY gel mpake na jipake jaribu , kama bado ana maumivu basi sio tatizo la yeye kuwa mkavu ni kuna kitu kingine, au labda ana extra long labia so unapo ingiza labda nayo inaingai ndani ina muumiza.
 
Back
Top Bottom