MPENZI WANGU BAADA YA KUPONA MATATIZO YA AKILI SIMUELEWI

Bado hajapona, athari za kichwani hutoka na kuisha taratibu, MSHUKURU MUNGU IWAPO Ame-improve haraka na mpe muda
 
Hivi kweli mkuu mtu ambae mmekuwa mnapenda,apate tatizo kama hilo then umkimbie??

Ingekuwa mfano ni wewe umepata huo ugonjwa,then your girl akuache,ungejiskiaje??

Tuwe na huruma na upendo wa dhati,hakupenda awe hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeelewa sasa kwa nini huwa una majibu magumu baadhi ya siku.

Pole sana mkuu, huyo bado hajapona vizuri kama wadau wengi wanavyosema.
 
Hahah sio mazuri but nafikiri signal hazijakamata vizuri. Aendelee na matibabu hadi atakapopona kabisa, bado hajatengemaa vizuri. Fanyeni ku clear cache memory
[emoji23][emoji23] kikikiiiiiiiiii eti cache memory kichwa kinakuwa kizito au kinashindwa kusave data first boot sector inakuwa na matatizo....

Ila mkuu atuambie kwanza matibabu alifanyiwa wapi kwa mganga wa kienyeji,hospital?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo VUA VUA nguo ya MPNZ wako,,. ,mbele za watu VIDUME VILIMKOSA KWL?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa theory inawezekana, lakini kwa vitendo haiwezekani.
Ndio maana hata wazee wetu zamani ukichumbia mahali wana scan huo ukoo. Mfano wakiwa wana maradhi ya kifafa, ukoma, sikoseli, athima, kichaa, albino na mengineyo wanachomoa hakuna kuoana.
Sasa kama huyu tayari keshamuona ana matatizo ya akili kwa nini amuoe?
Ndio maana nimemshauri kuwa amtibie apone lakini ASIMUOE nakazia ASIMUOE
 
Bila kuficha ni kwa mganga

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi rudi kwa mganga mwambie ajapona hali inarudia kwahiyo aongoze mshale hadi kwenye red, kama alilogwa basi aliemloga ananguvu na nyie mlimwambia mganga asikanyage moto sana ndio tatizo hilo.

Rudi tena huko kama anasaidia awasaidie ila asimuue huyo aliemloga ila amuonjeshe joto halisi la jua.

Poleni sana kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…