Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 2,035
- 4,457
😀😀😀😀😀😀 huyu jamaa mi kila nikiangalia avator yake najuaga ni mlevi kila siku hata comment anazotoaga najuaga kalewa... ila majibu yake kwa wale wapenda sifa huwa anawaweza sana.We jamaa huwa kuna wakati hadi kuku-quote naogopa, maana unaweza kujibu jibu lako la ajabu.
Hasa kwenye majukwaa yetu ya sports kule.
Kama ni mambo ya kiimani kimbilia tu kwa Mungu hao waganga mtasumbuana tu