Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 2,035
- 4,457
😀😀😀😀😀😀 huyu jamaa mi kila nikiangalia avator yake najuaga ni mlevi kila siku hata comment anazotoaga najuaga kalewa... ila majibu yake kwa wale wapenda sifa huwa anawaweza sana.We jamaa huwa kuna wakati hadi kuku-quote naogopa, maana unaweza kujibu jibu lako la ajabu.
Hasa kwenye majukwaa yetu ya sports kule.
Hata mende huwa anaona kuishi chooni ni kawaida
😀😀😀😀😀😀 huyu jamaa mi kila nikiangalia avator yake najuaga ni mlevi kila siku hata comment anazotoaga najuaga kalewa... ila majibu yake kwa wale wapenda sifa huwa anawaweza sana.
Kama ni mambo ya kiimani kimbilia tu kwa Mungu hao waganga mtasumbuana tu
Very new member ID na pumba ya kuanzia mwaka..!!!
Niliwaza hivyo kuwa anaweza akawa mkongwe, ndiyo maana nikaweka maneno MEMBER IDUyo ni mkongwe humu ID yake ilipigwa life ban alikuwa anajiita The List
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwaza hivyo kuwa anaweza akawa mkongwe, ndiyo maana nikaweka maneno MEMBER ID
Endelea kumtibia ndugu atapona kabisa sabb hatua aliyonayo kwa sasa siyo kama ya awali hivyo inaonyesha sawa zinamsaidia ila sema tu bado hajapona totally.Habari zenu wakuu?
Natumaini ni wazima wa afya naombeni ushauri kuhusu hili japo ni msichana ambaye nilianza nae uhusiano toka mwaka Jana mwezi wa 8.
Mahusiano yetu yalikuwa mazuri sana na upendo ulionekana kuwepo kwa wote
Tatizo lilianza mwezi wa 11 mwanzoni afya yake ya akili ilipata hitrafu kidogo akawa ni mtu wa kuvua nguo na kuongea yasiyoeleweka .
Jitihada za kumtibu zilifanyika na akaonekana kupona ila toka amepona amekuwa haeleweki Leo mnaweza ongea nae vizuri kesho anakuwa tofauti majibu yanakuwa ya mkato mkato tu yaani kiufupi hasomeki.
Naombeni msaada wa kimawazo ndugu zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa mareriya!!!
Mpe muda dishi likinyumba mkuu lazima apate muda mrefu wa kupumzikaHabari zenu wakuu?
Natumaini ni wazima wa afya naombeni ushauri kuhusu hili japo ni msichana ambaye nilianza nae uhusiano toka mwaka Jana mwezi wa 8.
Mahusiano yetu yalikuwa mazuri sana na upendo ulionekana kuwepo kwa wote
Tatizo lilianza mwezi wa 11 mwanzoni afya yake ya akili ilipata hitrafu kidogo akawa ni mtu wa kuvua nguo na kuongea yasiyoeleweka .
Jitihada za kumtibu zilifanyika na akaonekana kupona ila toka amepona amekuwa haeleweki Leo mnaweza ongea nae vizuri kesho anakuwa tofauti majibu yanakuwa ya mkato mkato tu yaani kiufupi hasomeki.
Naombeni msaada wa kimawazo ndugu zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤝🤝🤝[emoji106][emoji106][emoji106][emoji120][emoji120][emoji120]Hivi kweli mkuu mtu ambae mmekuwa mnapenda,apate tatizo kama hilo then umkimbie??
Ingekuwa mfano ni wewe umepata huo ugonjwa,then your girl akuache,ungejiskiaje??
Tuwe na huruma na upendo wa dhati,hakupenda awe hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natoa baraka zote asepe. Ya nini kumtesa mtoto wa watu aisee? Akiamua kubaki nitamshukuru ila nafikiri ni vyema akiondoka. Ila huyo ni mimi.Hivi kweli mkuu mtu ambae mmekuwa mnapenda,apate tatizo kama hilo then umkimbie??
Ingekuwa mfano ni wewe umepata huo ugonjwa,then your girl akuache,ungejiskiaje??
Tuwe na huruma na upendo wa dhati,hakupenda awe hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu huyo mtaalam aliyemtibu anapatikana wapi?Kuna jamaa yangu ana kesi Kama hyoAliacha kuongea ovyo na kuvua nguo
Chanzo kutoka kwa wataalam wanasema Anty take alimchezea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahani huyo mtaalam aliyemtibu anapatikana wapi?Kuna jamaa yangu ana kesi Kama hiyo.Aliacha kuongea ovyo na kuvua nguo
Chanzo kutoka kwa wataalam wanasema Anty take alimchezea
Sent using Jamii Forums mobile app