Mpenzi wangu baada ya kutoa mimba kwa vidongenge majibu ni haya

kwahyo ultaka mwenzio akapigwe mvua ya miaka 30?? unaongea kama hujui umuhim wa alichokifanya.
Mtaani hakuna ke hadi achukue mwanafunzi?, Ni kweli wameshindwa hata kutumia Kinga? Je Hadi hapo unamuona yupo salama? Maana mimba haijatoka unategemea nini kitafuata? Anammimba Mtoto wa watu halafu anakuwa bahili ajiandae tu maana huyo bint akizidiwa atamtaja tu.
 
raha?
baada ya week2 ndio itaonyesha kama hakuna mimba.
Hata kama imetoka kipimo bado kinakua positive kwa muda huo.
lakini
Hio haijatoka
mkuu na ukiendelea kuichokonoa kama hana moyo utaozea keko
 
Mkuu aliniambia kapewa vidonge vinne viwiki kanywa viwili kaweka kwenye k sasa ninachotaka kujua kama imetika au bado
Sasa kutoka muulize yeye je katokwa na damu kiasi gan??? Kama hajatokwa damu kitu bado kipo ,kama katokwa kidogo huenda imeharibika tu haijatoka ..

Na ingetoka ungejua mana maumivu yake lazima angesema tu ,,, na vile alivyoweka vidonge hayakiw kuzunguka zunguka ....ni usiku mpka asubh inakuwa tayar ila tofaut na hapo jua kakosea kuingiza vidonge
 
Kila siku uwe unamtanua na kumchungulia sehemu za siri...

Kama ulivyokua unamtanua na kumfanya...


Cc: mahondaw
 
Sasa asirudie tena hivyo vidonge anaweza kufa aisee ,,mpka kesho angalia kama vipi mpeleke hosp ama tafuta dr. Akusaidie la sivyo utakuja kuandika uzi baada ya miaka 30 hapa
 
Ameniambia ukutokwa na damu nyingi ila Ilitoka na pia alijisikia maumivu ya tumbo sasa sijajua kamanimetoka au raha kamanaijatoka nikimbie tuu maana msalanuwo
 
Yaani wahi hospital binafsi ukaombe wamsafishe haraka. Atapoteza damu atakufa huyo. Na kesi itakuwa kubwa kwako utafungwa maisha. Please nenda haraka hospital.
 
Yaani wahi hospital binafsi ukaombe wamsafishe haraka. Atapoteza damu atakufa huyo. Na kesi itakuwa kubwa kwako utafungwa maisha. Please nenda haraka hospital.
 
Segerea hapakufai. Utaenda ukonga
 
Ameniambia ukutokwa na damu nyingi ila Ilitoka na pia alijisikia maumivu ya tumbo sasa sijajua kamanimetoka au raha kamanaijatoka nikimbie tuu maana msalanuwo
Bado ipo,, hyo ,,jiandae kuitwa baba
 
Vijana muwe mnapiga nyeto tu hadi akili zikomae ndio muanze kupalamia wanawake haya matatizo mnayoyatafuta ni makubwa mno.
 
Sisi wazoefu tunakwambia hapo bado FOETUS IPO ndan ngoma haijatoka,inabid itoke damu ya kutosha atleast for 2_3 days.Wahi hospital hata kwa kupitia njia za mkato wamchek before hajaharibikiwa coz kiumbe kishakufa
 
Siku nyingine kaka tumia withdraw method mwanafunz hatapata mimba kabsa maana najua ni ngumu kujizuia kuwagegeda hawa viumbe.
 
Mpeleke hospital akasafshwe utaishia kwa Nyapara wew
 
Kuna mwanafunzi wa chuo cha udaktar diploma ....alikuja binti kwake akitaka amtoe mimba, akajifanya kumwandikia vidonge, binti ana vuja damu kila Leo, full anaemia , full kuongezewa ma drip ya damu, ni admission ya tatu hospitali sasa kwa tatizo hilo hilo, imefika stage demu anajuta kwann alifanya kile kitendo....Huyu mwanafunz naye anaishi kama digi digi full stress hajui ya mbele yatakuwaje...

USHAURI:

Kutoa mimba kunaweza kuja na complications nyingi sana, inaweza kukusababishia ugumba wa kudumu ama kifo kabisa, kama hamtaki mimba kwann msitumie condom?

Ni kosa la jinai kutoa mimba isipokuwa kama kuna indications ....Madaktar wenyewe Haya mambo wanayachukulia kwa umakini mkubwa sana kwa sababu wanajua kinaweza kuwaka mda si mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…